There is suspicion of something very sinister involving these three news outlets - is it some unholy alliance formed for the sole purpose of misleading the electorate and denying them information...
heshima nyingi kwako Dr Slaa,wewe ni muokozi wetu.Sisi wafanyakazi tunategemea kucheka baada ya hii tarehe 30.10.2010.Tunategemea kupata maisha bora ambayo tuliya ota kwa miaka 5 sasa.Wale ambao...
Yaonya watanzania kuwa makini:
- Nyingi zinatolewa na vyuo visivyotambulika wakiwalenga zaidi watu maarufu wakiwamo marais wa nchi za kiafrika
- Mara nyingi zinatolewa kwa manufaa ya vyuo husika...
Nimefuatilia thread ya matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM, nikagundua kama alivyodokeza ndugu Kasheshe kuwa uletaji wa matokeo hauko user friendly. Hii ni kwenye uchaguzi ndani ya...
Wabongo Hawana Nyongo, CCM itashinda Tena!
WIKI chache zilizopita zilikuwa ni wiki za watu kuchukua fomu za kugombea Urais wa Tanzania. Baadhi ya watu wamejitokeza kuchukua fomu. Hiyo yote ni...
Aliwasiliana nami kwa sms alfajiri ya leo akiniambia kuwa ameshinda nafasi ya viti maalumu Singida....
Nimejaribu kumtafuta anipe details lakini simu yake unreachable. Kama tuna mdau yeyote...
Nimemsikia m/kiti wa chama chetu mafisadi akiwa usia wajumbe wa nyumba kumi kupiga kampeni kwa nguvu zote ili CHAMA kishinde uchaguzi wa 31 Oct.
Hivi dhana hii ya chagua CHAMA badala ya mgombea...
Katika stori ya "Marando ahamia Chadema" iliyoko Tanzania Daima ya 23 Jul 2010, Marando amewashambulia wabunge wa CCM wanaomuunga mkono Dr Slaa akiwaita "wadandia hoja" na kwamba lengo lao ni...
Kuna wengi wamesema kwamba kule vijijini watu hawaelewi,wao ni kulewa mapilau,na kutotumia kura zao ipasavyo.kwa nini wenye kutaka maendeleo ya hii nchi,wasitengenze documentaries,au movies to...
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR DK. AMANI ABEID KARUME
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR DK. AMANI ABEID KARUME
SALAMU ZA RAIS WA ZANZIBAR NA
MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,
MHESHIMIWA DK...
Nimesikia mara kwa mara tena kwa lugha ya dharau ya aina fulani kuwa "Watanzania hawaju" na kuwa "Huko kijijini watu hawaelewi" na wengine wamefikia mahali pa kudai kuwa "wananchi hawana elimu ya...
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425...
Joseph Mbilinyi, Mr. Sugu, maarufu kwa jina hilo, ukipenda Mr.II. Ameshinda katika kura za maoni yaliyofanyika Mbeya Mjini za CHADEMA za kumtafuta Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA...
Barabara mbovu, maji ya shida maisha magumu.
Foleni inaanzia Moroko hadi Mwenge, eneo ambalo kata yake ipo.
Barabara mbadala zipo, haziwekwi lami wala kukwanguliwa.
Zuzumagic huyo tumemchoka na...
Ndugu zangu wana JF,
Kwa makini nimekuwa na tafakari ya matokeo ya (Kura ya amoni) referendum Zanzibar na kupata maswali mengi yasiyo kuwa na majibu. Kwa matokeo haya; naamini yataleta mgongano...
Waheshimiwa wana wa nchi! nilipoandika jina langu Diwani maana yangu ilikuwa ni maandalizi ya kugombea udiwani katika kata moja iliyopo mkoani Tabora na sasa nimetoka kukagua vituo vyote naona...
Kati ya taarifa zilizonivutia ni hii hapa ya mwenyekiti wa serikali za mitaa mbagala alipokuta jina lake na watu zaidi ya 50 awapo na kusimamisha uchaguzi ,..si yeye bali niwatu waliokuwa majina...
Awali ya yote napenda kuzipongeza serikali zote mbili za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais J.M.Kikwete na DR Karume kwa maamuuzi yao yaliyoshehena hekima na busara kwa...