wabunge waliobwagwa waende Chadema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge waliobwagwa waende Chadema!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ubungoubungo, Aug 4, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Si wabunge wote nawaongelea hapa, Mbunge kama Sleeliii, Kimaro na wengine, natamani wajiunge na kambi ya Dr.slaa. kwanini wasikaribishwe?...na, nimefurahi sana kwa malecela na bakari mwampachu kupigwa chini...yaani nilifurai mno, pamoja na yule jamaa wa ulanga, jamaa wa best practice....hahaha, chaliiiii.....futilia mbali hadi tuwasahau kabisa kama walishawahi kuexist..
   
Loading...