Eng. SALUFU CA
Senior Member
- May 12, 2010
- 144
- 17
Nimeguswa sana na mwanasiasa huyu jinsi ambavyo anahangaikia maslahi ya wana wa nchi hii. Hivi ndugu Mtikila ni wa wapi kwa maana ya mkoa wilaya, kipindi fulani nilisikia anatokea Ludewa ni kweli? maana anaonekana ni mbishi naking'ang'anizi kwelikweli. Nimefurahi kusikia kuwa hatakwenda tena jela kama ilivyotangazwa awali kwani tungekosa chachu yake katika uchaguzi ujao, bravo Mtikila aluta kontinua.