Elections 2010 JK na Makamba wamuhofia Dr Slaa

Woga! na hapo Mpiganaj wetu bado hajaanza kutema cheche -- ya Mwenge Mamba yalikuwa trela tu.
 
Yaliyomkuta Moi, Chiluba, yaja Tz kaa mka wa kula. Mi naamini Historia itaandikwa.
 
Mie sishangai kwa wao kusihiwa hoja, lazima wamuogope......pata picha J.K mojawapo ya hoja zake ni kuwa amewaletea maisha bora watanzania kwa sabaabu ya foleni za magari DSM, real president? VIVA MPIGANAJI SLAA

Alitoa kauli hiyo tarehe 19 July 2010 wakati akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya kumpongeza Rais Kikwete kuchaguliwa kuwa mgombea pekee wa urais kwa asilimia 99.16, Dkt. Ali Mohammed Shein kuchaguliwa kuwa mgombea wa Urais Zanzibar na Dkt. Mohamed Gharib Bilal kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

Majibu yangu kwa J.K …………."Magari mengi si ya watu binafsi, idara nyingi za serikali ziko hapa, kuanzia ikulu, bunge, wizara zote, taasisi binafsi, mashirika ya dini, viwanda na wafanyabiashara mbalimbali ambao ndio wamiliki wa magari, sio wananchi wa kawaida, sasa huwezi kusema kuwepo kwa foleni za magari ya idara hizi ni maisha bora kwa wananchi,"
 
YES WE CAN....!!! :clap2:
:welcome:Dr.W.P.Slaa kutuletea mabadiliko ya kweli Tanzania
 
Jamani si aliwaambia atawajengea Barabara za JUU na CHINI wakati ule mradi wa mabasi yaendao kasi ulikuwa ni msemo wa kampeni ya 2005 sasa 2010 barabara za juu na chini, KWAHIYO BASI FOLENI ZITAPUNGUA NA KILA MWANAFUNZI ATATUMA COMPUTRE shule wakati hakuna madawati....:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Hawa si mnajua ni mabingwa wa mipasho, hoja hawana ndiyo maana wanakimbia midahalo
 
Mkuu sijakupata hapo. ni akina nani wankimbilia midahalo?

Mkuu, si tunataka mdahalo wa wagombea uraisi, JK anugopa kama ukoma!
Hofu imewajaa tele, mara mdharau mwiba... yaani kama kweli kura zitahesabiwa vituoni na kutangazwa hapo hapo, muujiza utatendeka mwaka huu. Go, go wa Slaaa
 
Back
Top Bottom