Balozi wa USA utaongea lini? Dada yetu ameuliwa Kinyama LA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi wa USA utaongea lini? Dada yetu ameuliwa Kinyama LA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Jun 27, 2010.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Jamani je ni lini tutasikiwa ubalozi wa TZ unatoa masikitiko kwenye magazeti kama dada yetu kakatwa na mapanga na ubalozi unanyamaza kama hakuna lolote lililo tokea.

  Je ubalozi una kazi gani kama hautajali Watanzania, hata pole tu hatujaisikia!. Tunajua hakuna pesa lakini pesa siyo kila kitu Ubalozi unatakiwa kuonyesha upendo kwa wananchi wake na kufatilia upelelezi wa hizi kesi kuhakikisha kwamba zinafuatiliwa.

  Na siyo ufuatiliaji tu ubalozi unatakiwa kuwasiliana na Wananchi wa kitanzania hapa kuwaeleza uchunguzi wa polisi umefikia wapi. Ubalozi wetu umekuwa haujiusishi kwa kisingizio cha pesa, lakini pesa siyo tatizo hapa watu hawajaomba pesa ubalozini bali upendo tu ambao umekuwa mgumu sana kutoka ubalozi wetu wa DC.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Kaandika ubalozi na si balozi.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Umeidaka nilikuwa nafanyia marekebisho duh:mmph::mmph::mmph:
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  LOL! Maria Roza hahahahahaha....hata mimi kwa masahihisho mmmhhhhh!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwani viongozi wetu huwa wana tabia ya kusimama wakati wanahitajika? zao ni kama kuna sherehe, kufungua matawi na harusi za mafisadi. subiri binti akiolewa huko, hata kama ni kaolewa au kaoa mtoto wa chistoper dudus uone atakavyojibaraguza
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana Mkuu ulichoandika ni kweli tupu na ndicho kinachofanyika katika balozi zetu nyingi.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Dada yetu kakatwa mapanga wapi, Tarime?
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa mkuu

  we subiri au jaribu kwenda kwa balozi au ofisi za balozi wakati wa sherehe uone jinsi jamaa wanavyochangamka... halafu wapelekee tatizo uone watakavyoingia mitini

  In 2000 nilipiga simu kwa ofisa wetu wa ubalozi london kuomba tu kwenda kusalimia hapo ubalozini.... jamaa alinikwepa for 6 months; baada ya kurudi bongo, ndio ananikaribisha tupate drinks... i told him on his face kwamba sikupedna tabia yake
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Hii kitu inaudhi sana Mkuu. Na ndiyo sababu kubwa Watanzania wengi hawapendi kabisa kukanyaga katika balozi zetu. Ukipita hata huna shida yoyote unaenda kusalimia tu basi wameshahisi una tatizo na umeenda kuomba msaada, kutokana na tabia hii wengi huamua kukata mguu kabisa.

  Angalia huyu dada yetu kafariki kitambo sasa, lakini ubalozi kimyaaaaa na si ajabu hakuna hata afisa wa ubalozi anayefuatilia zaidi kifo cha dada huyu ili kujua kulikoni na kuhakikisha haki inatendeka kwa Mtanzania mwenzetu.


   
 10. T

  Taso JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ridiculous thread'ers, kusalimu ofisini? Kuleta ubongo ubongo ule uleeee, no wonder ulipigwa matarehe...
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sorry sister its not like that... sometimes inategemea na nini unaenda kufanya na pia nilikua nasomea nini!!! sometime kuna basic info hasa kama unafanya thesis you may need to search kwenye balozi hasa enzi hizo mitandao haikua kama sasa

  PIa mpaka mtu aje badae akutafute ujue tulikua tunajuana fika na kwa miaka kadhaa... i didnt give details lakini kama ni member hapa ujue ananielewa because he is a person close to my family na mbaya zaidi kabla ya kwenda huko alikua very close ila baada ya kupata ulaji alidhani kama unavyodhani wewe.

  BTW, you just need to have a little common sense before jumping to some discussion.. mtu angeuliwa tarime tungeomba balozi itoe tamko??
   
 12. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #12
  Jun 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280

  Sijawahi kuona balozi zinazo-treat raia wake bila upendo kama hizi za Tanzania. Nimewahi kuwa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali, na najua jinsi wanavyohudumiwa na balozi zao.

  Zaidi, ninachukizwa sana na madai ya kuwa ili nibadili passport za familia yangu lazima niwachukue wote twende Ubalozini hapo DC kuchukuliwa finger prints!!; nashindwa kuelewa kwa nini wasikubali fingerprints zilizokuwa notarized na licensed lawyer. Ni mzigo sana kuchukua familia ya watu sita kutoka umbali kama Alsaka kwenda DC kwa ajili ya kuchukuliwa finger prints tu!!
   
 13. T

  Taso JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Ndio research feki hizo, msomi mzima unaomba appointment ya "kusalimu" kumbe kufanya research, zilch communication skills, no wonder ubalozi ukasema forget this clown...

  "Close to my family" mbona alikupiga chini ulipotaka kuleta uswahili ofisini? Get a clue, hataki undugu kazini, in fact si ajabu hataki undugu period, umemganda kama tattoo unaendeleza uswahili wa kujuana ofisini...change, you been in the developed world, learned anything? Eti kama niko hapa ningejua ubalozini kuna ndugu zako, who gives a rat's behind?
  Na wewe ungekuwa na common sense ungejua nilikuwa na ridicule the whole topic ambayo haielezi dada yenu kapigwa mapanga wapi, ni nani, lini? You wanna raise awareness about a tragedy give details, duncehead
   
 14. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Sioni haja ya kumlaumu balozi wa marekani. Kama Serikali yetu haijampatia pressure ya maelezo juu ya kifo cha Mtanzania LA yeye atajuaje kama huyo aliyeuwawa ni mtanzania wakati serikali yetu ipo kimya?.
   
 15. T

  Taso JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Licensed lawyer wa huko Alaska sisi Tanzania hatumtambui. Ndio maana walipokuja kubadili passport wakati ule walikuja na ma lawyer wa Bongo. Ni mzigo kwa familia yako, sawa, lakini ukitaka kutuma fingerprints lets say Homeland Security utawatumia ma kopi yenye mihuri ya notary public au uta show up with your family?
   
 16. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #16
  Jun 28, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Inaelekea ndugu yangu wewe unatoka ubalozini, lakini unafanya makosa kutoa majibu ya jumla jumla bila kuunganisha facts zote sawasawa.

  Fingerprints za Homeland Security ni electronic kwa hiyo inabidi mtu aende palipo na hiyo system; na hiyo requirements ya electronic fingeprints ni kwa watu wasiokuwa raia wa marekani tu. Ukiwa ni citizen na ukahitaji passport, USCIS wanatambua mawakala wengi sana kukusanya data za passport kwa mfano ofisi zote za posta na ofisi mbalimbali za licensed lawyers pamoja na ofisi mbalimbali za federal governement ambazo zimezagaa nchi nzima; hawawezi kuwasumbua raia wake kwa mambo ya kipuuzi namna hiyo.

  Fingeprints zinazofanyika kwenye ubalozi wa Tanzania ni za wino, ambazo zinaweza kuchukuliwa sehemu yoyote ya nchi. Ubalozi unaponitaka niache kazi nisafiri umbali wote huo pamoja na familia yote kwa gharama hizo ni usumbufu usiokuwa na maana kwa raia; ndiyo maana nikasema sijaona ubalozi usiokuwa na mapendo kwa raia wake kama wa Tanzania.
   
 17. T

  Taso JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Watanzania wanasafiri kutoka vijijini mwisho wa nchi wanakwenda Dar kushughulikia uhamiaji, na nyinyi wa nje tumewasogezea huduma hiyo DC, nyinyi sio privileged group, fuateni taratibu za kila Mtanzania.

  Na hao ma licensed lawyers wa Marekani sisi Tanzania hatuwatambui, sisi ni sovereign state.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jun 28, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Lol....Taso ana hoja
   
 19. O

  Ogah JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Typical Tanzanian/African minds.........kwi kwi kwi kwi..........naona unadumisha zile deas za...............MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO............mawazo mgando...........kwi kwi kwi.............
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jun 28, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Sote tumo including wewe unless uniambie wewe umevumbua kitu cha maana sana
   
Loading...