Midala ateuliwa kuwa CEO wa DAWASCO

WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,506
2,409
Waziri wa Maji, Prof Mark Mwandosya hatimaye amemteua Jackson Midala kuwa CEO mpya wa kampuni ya maji Dar, DAWASCO.
 
Jackson Laurian Chrisostom Midala[48yrs] ameteuliwa na Mwandosya kuwa afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO. Ni injinia na amefanya kazi toka enzi hizoooooo za NUWA!
 
Asante kwa taarifa ila mwenzako WildCard ashaileata hii habari kama thread!
 
hivi why kuteuliwa till today? shame on CCM we need a bidding transparent system!
 
Hongera Midala.Hope taratibu zimefuatwa katika uteuzi and that He was the best kati ya walioomba hiyo kazi.
 
hivi kuwa CEO wa dawasco lazima uwe na background ya engeneering??? something wrong in thinking how to manage the water distributor in the city..

we need a more business mind person to turn aroung the organisation..
 
Kwa bahati nimewahi kukutana naye tokea enzi za NUWA, ni mtu mzuri na mtendaji mwenye kujituma na ni kijana. Tuombe Mungu asiingie mikono ya walafi.
 
Kwani ukiwa na background ya Engineering huwezi kuwa na business mind?
 
soo.........................waht!!!!!?????
Jackson Laurian Chrisostom Midala[48yrs] ameteuliwa na Mwandosya kuwa afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO. Ni injinia na amefanya kazi toka enzi hizoooooo za NUWA!
 
Kwa bahati nimewahi kukutana naye tokea enzi za NUWA, ni mtu mzuri na mtendaji mwenye kujituma na ni kijana. Tuombe Mungu asiingie mikono ya walafi.
 
Tanzania itaendelea pale tu rais atakapokuwa engineer.....lakini mafisadi wa sheria hawa...hakuna lolote.
 
hivi kuwa CEO wa dawasco lazima uwe na background ya engeneering??? something wrong in thinking how to manage the water distributor in the city..

we need a more business mind person to turn aroung the organisation..

Hapana si lazima. CEO kazi yake ni kumanage resources za kamuni ili ipate faida. Lakini endapo kampuni ina matatizo yanayoikwamisha labda sabau za kiuchumi au financial mismanagement basi mjuzi wa mambo ya finance atafaa kuleta discipline inayotakiwa. Mfano HP wwaliwahi kuwa na matattizo mengi kuhusiana na mikataba mbalimbali hivyo CEO aliyeteuliwa alikuwa mwanasheria. Alibadilishwa baada ya muda baada ya kulegalega kiteknolojia. Hivyo uteuzi wa CEO sio straight forward si lazima awe technocrat wa core business. Ni wazi ni tatizo kumchagua CFO asiye nabackground ya Finance.
 
kama ilivyoelezwa na wadau wengine hapo juu,bwana midala ni mchapakazi mzuri tu,nami nimefahamiana naye tangu akiwa NUWA,Pia amekuwa jirani yangu kwa muda mrefu,ni mkimya,mpole,hupenda kuwasaidia majirani zake,kila la kheri bwana midala
 
Back
Top Bottom