Jamani huko kwetu vipi kugombea ubunge na uongozi wa mpiira? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huko kwetu vipi kugombea ubunge na uongozi wa mpiira?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MziziMkavu, Jun 25, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Rage atangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la tabora mjini
  [​IMG]Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu hiyo Dar es Salaam, leo kuhusu nia yake ya kutaka kugombea ubunge katika jimbo la Tabora mjini.

  (Picha na Francis Dande)

  Chanzo MICHUZI

  ACHAGUWE MOJA KATI YA HAYA MAWILI AIDHA AWE KIONGOZI WA MPIRA AU AACHE UONGOZI WA MPIRA AKAGOMBEE UBUNGE HUKO TABORA.
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,611
  Likes Received: 2,489
  Trophy Points: 280
  hizi tamaa
   
 3. n

  nndondo JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,225
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Jamani Rage huyo aliyepata uenyekiti tena kwa mizengwe Simba, huyu aliyewahi kufungwa kwa kuvunja miiko ya uongozi na kukubali kufoji receipts hajaanza hata kuingia Simba amesharukia shughuli nyingine tena? hivi kwa nini watanzania tunashindwa kuambiana ukweli juu ya uwezo wetu wa kufanya mambo? Kwa nini Rage asiamue kwa moyo mmoja kujingenga katika hicho alichonacho mkononi kwa nchi hii iliviyo huo uenyekiti wa Simba mbona ni mkubwa kuliko ubunge? kwa kutumia uwenyekiti wake akifanya vizuri hata hilo bunge litamsikiliza sasa lazima ajue kwamba ....mwishowe kupasuka msamba. Hebu tulia kwanza fanya moja wa mbili havai mojo
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Bila shaka anagombea kwa tiketi ya CCM!
  Hii ndio Bongo bana.
   
 5. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wangapi ni wakuu wa mikoa na ni wabunge??? hao je wanafanyaje mawili??? eg. Monica Mbega RC K'Njaro MP Iringa Lukuvi RC DSM MP Jimbo gani sijui huko Iringa.......Kama anaweza mwacha nae akale maposho.....
   
Loading...