Tanzania to refund Norway Sh2.8bn aid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania to refund Norway Sh2.8bn aid

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Jun 26, 2010.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,820
  Trophy Points: 280
  By Mkinga Mkinga
  THE CITIZEN


  [​IMG]
  Chief Justice Augustino Ramadhan and High Court Judge Mariam Shangali follows 2010/11 budget estimates presentation for the ministry of Justice and Constitutional Affairs yesterday in the Parliament in Dodoma. PHOTO/EDWIN MJWAHUZI

  The government is to refund a total of Sh 2.8 billion to the Norwegian government as settlement for a long running dispute stemming from reported embezzlement of millions of shillings in a Donor backed natural resources development programme.


  The Citizen has established that the refund is provided for in the government budget for the 2010/2011 financial year. Members of Parliament are currently in Dodoma debating the ministerial estimates in the Sh11.1 trillion.


  The refund is expected to end a standoff between the government and Norway over corruption and normalise bilateral relations that was partly strained by embezzlement by public officials of the funds provided by the latter.


  In a recent interview with The Citizen, the Permanent Secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism Dr Ladislaus Komba admitted that the government has agreed with Norway to refund the money that was ‘misused’ in the project.

  Dr Komba said the agreement came after several consultations and meetings between officials of the Norwegian embassy in Dar es Salaam and representatives from the government side. Dr Komba led the team.


  According to the PS, the Sh2.8 billion would be disbursed to Norwegians soon after the approval by Parliament of the ministry’s budget scheduled for next week.

  “We shall pay them as soon as our budget is approved by the National Assembly. The vote was also in the general budget that was presented by the Finance and Economy minister Mustafa Mkulo,” said Dr Komba.
  The PS maintained that by agreeing to refund the money, it did not mean admission of corruption on the part of the government in this particular amount of money.

  Dr Komba said about Sh1.2 billion of the total was largely the accumulation of Value Added Tax (VAT) that was wrongly taxed by Tanzania Revenue Authority (TRA) on funds provided under the programme through Norwegian Aid.


  Efforts throughout the week to get a comment from the embassy following the news were futile. Questions mailed to their offices had yet to be replied.
  Last week however, Mr. Morten Heide, Counsellor, Royal Norwegian Embassy, when asked about the progress in the talks with government said; “There has been an elaborate process to establish the amount of funds, which has not been used in accordance with the agreement. On our side, we are currently awaiting Government of Tanzania's follow-up and actual return of the funds.”

  Last year Norway announced it was suspending funding in millions of dollars for the Natural Resources Development Programme following an external audit that revealed embezzlement and theft of money they had granted Tanzania over the last decade.

  The audit reportedly discovered that $30 million (Sh42 billion) of its funding to a government-run natural resources project was missing.

  The report revealed that half the funds may have been “spent on seminars, workshops, per diem, and travel expenses.”

  The external audit report that was leaked to the media indicated that 30 per cent of expenditures that went towards capacity building had no documentation, and that perhaps 50 percent of total programme expenditures were poorly accounted for.

  However, the Tanzanian government disputed the figure, leading to the standoff. The two governments then opened negotiations over the return of any misused funds and future support for the natural resources sector. Over the programme’s past 12 years support, Norway had given in the upward of $60 million (Sh84 billion).


  This week Dr Komba suggested only Sh2.8 billion could not be accounted for. He said his Ministry also failed to account for the money paid to casual labours in the field because it had no retirements.

  “They (Norway) were also furious on a total of 70 ghost motorcycles that were claimed to have been bought and the ministry has taken stern measures on all those involved, with some landing in court,” Dr Komba said.
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Halafu bado tunategemea nchi itaendelea kwa madudu kama haya, watu hawana aibu hata kwenye hela za msaada.
   
 3. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ushenzi wa serikali ya Kikwete wanakimbia na watu wanaoiba kuku na bata au vijisenti vidogo kwenye halmashauri wana kumbatia hawa mafisadi katika mawizara. Hii ni wizara moja kati ya wizara nyingi zenye madudu haya
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jun 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Kuna dada mmoja wa kizambia tulikutana siku moja hapo DC kwenye kongamano moja alinifurahisha sana kwani walikuwa mkali sana kuzitaka nchi za nje zisiendelee kupeleka pesa afrika. sikumbuki tena jina lake ila nitalitafuta.


  Dada yule was right; nilishagundua siku nyingi watu wengi wakipewa pesa ambayo hawakuitegemea wala hawakuitolea jasho huishia kuifuja tu. Watu wengi waliowahi kupata bahati nasibu kubwa kubwa Marekani wameishia kufuja pesa hizo. Tunapopewa fedha za bure bila masharti na hawa "wafadhili" huwa tunazifuja; tumepokea fedha nyingi sana kutoka huko Nordic na wala hakuna maendeleo yoyote zaidi ya visima vichache vya maji ambavyo vimeisha kufa na vyuo vichache vya maendeleo ya wanachi.

  Inabidi nchi zote zinazotoa misaada kwetu ziwe zinaambatanisha masharti kwenye fedha zao; masharti yasipotekelezwa basi fedha irudishwe na interest.
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  unasikia mpaka serikali inatakiwa kurudishiwa pesa zake lakini husikii mtu kushitakiwa kwenye suala kama hili. Pesa ya serikali Tanzania inachezewa kupita kiasi
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Naona kufikia oktoba bubu utapona, walahi uatasema. Hizi hela zote hizi zitalipwa toka wapi? Waliozichezea wanafanywa nini
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,820
  Trophy Points: 280
  Lol! Mkuu nimeshaanza kusema kidogo kidogo japo maneno mawili matatu. Yaani madudu yanayotendwa ndani ya serikali yanaudhi mno! halafu unamsikia mtu anajigamba kama ningeboronga chama changu wangenitimua. Miaka michache iliyopita kulikuwa na kikao cha wafadhili na Serikali kuhusiana na miradi mbali mbali ya Wizara ya Elimu.

  Basi jamaa wa Elimu kuna mradi mmoja akadai umeshindwa kufanyika kwa kuwa Serikali haina pesa na hakuna nchi mfadhili yeyote ambayo imeonyesha nia ya kuufadhili. Akasimama balozi wa Japan na kusema mbona tumeshatoa pesa (nadhani zilikuwa kati ya Tsh bilioni 8 hadi 10) za mradi huo? zimetumika vipi? Jamaa akaanza kujiumajiuma. Nadhani ndiyo zilikuwa zimeshaminywa ili ziwanufaishe wajanja wachache. Ni bora waanze kufuatilia wenyewe pesa zao ili kuhakikisha haziishii mifukoni mwa mafisadi na kama hawaridhiki na maelezo ya pesa hizo za msaada basi wailazimishe Serikali iwalipe pesa zao.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hela za watu zilipwe, maana hawa wakiachiwa watajua ndo trend yenyewe kulakula hovyo!...
  ..Landing in court, and then what?..i expected to hear that some have been jailed for some years!!!!....Aibu yote hii inarudi kwa serikali, i mean this very irresponsible government!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kuna aibu zingine zinadhalilisha sana
   
 10. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Niliposti position ya waziri mkuu wa Japan kashindwa kutekeleza ahadi moja tu ya uchaguzi akaamua kuwa mstaarabu na kuamua kuachia ngazi. Labda kuna tafsiri nyingine ya kuboronga. Sasa sisi mpaka watoto wetu wanachanga hela za kuchuulia fomu halafu unamkuta jumapili nyumbani analalamika sina hela. Tunakenua tu, hii mbona inatisha.

  Wafadhili wote wakiwa serious walahi hii nchi tutakwisha, hakuto serious hata kidogo.
   
 11. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280


  Kwa hili nasikia malipo ya pikipiki yaliidhinishwa na mhasibu wa Wizara kinyume cha sheria wakati Katibu mkuu akiwa safarini . Pamoja na hayo pikipiki hazikuonekana huko zilikotakiwa na KJ motors wakawa walikula na mhasibu. Yalifika ikulu lakini nasikia mpangaji wetu hakuona la ajabu. Alicheka tu!!
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Hawa ni wezi kabisa hakuna ubishi, ni wizi kuliko wale wanaoiba site mirror, wa site mirror anauwa na hawa ndo tunawaita mapedejee na kama majina yao kwenye muziki hayajaimbwa tunaona wimbo sio mzuri.

  Yule wa kioo hata mahakamani hatumpeleki, tunampiga mawe mpaka afe.

  Tumelogwa na mganga amekufa
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Wacha msihara bwana kipi kilimchekesha sasa?
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Hayo ndio matunda ya ari mpya, kasi mpya na muanguko mpya. Because we are inovative, this coming general election we would devise another very convincing slogan....mafisadi watajua habari yao!!!
   
 15. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huko si ndo kucheka na kutabasamu kunakotakiwa kama alivyowahi kupendekeza Malaria sugu?
   
Loading...