Elections 2010 Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,249
79,583
Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’
By DAILY NEWS Reporters , Total hits: 15
07_10_0pqmh9.jpg
THE curtain was drawn on the CCM primaries on Saturday as Parliament Speaker and Urambo MP East MP Samuel Sitta accused the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) of malice and unethical conduct.
As Mr Sitta was voicing his concern in Tabora; in Dar es Salaam, the Secretary General of CCM, Mr Yussuf Makamba, said that anyone who will be proved to have engaged in corrupt practices during the first round of nominations would be barred from the race, even if he or she scored the highest vote in the primaries.

Mr Sitta accused PCCB officials of being "malicious in executing their duties to the extent of victimizing innocent contenders for unknown motives." The Speaker made the remarks at a public rally at Matanki Manne grounds in the constituency on Saturday.

The Speaker’s wife, Community Development, Gender and Children Minister Margaret Sitta was recently briefly held and interrogated by the anti-graft body on suspicion of election-related bribery; an act that Mr Sitta believes was instigated to tarnish the couple’s image.

PCCB alleged that it found Mrs Sitta in possession of seven mobile phone handsets, one million shillings cash money and several envelopes During the rally, Mr Sitta reminded PCCB officials of their obligation to abide by their professional ethics and refuse to be used by people with ill intention against fellow aspirants.

Addressing reporters in the city, Mr Makamba said all CCM candidates currently under probe by the PCCB will have their dreams shuttered once the allegations of corruption against them are proved.

Announcing the official end of the CCM primaries, the secretary general commended PCCB for its professional execution of duties, adding that his party does not entertain corruption, which is not only sinful but also blindfolds voters to vote for incompetent leaders.

“Any leader proved to have ascended to power through deception will have no chance in the party’s leadership ranks. The party does not discredit or favour anyone only that people’s voice is the only power to give the verdict,” Mr Makamba explained.

It was explained that eligible party members allowed to vote in the primaries today are those whose membership would be verified at the established local branch register and should have paid the membership fee at least for the first three months of this year.

Mr Makamba said, however, that those prepared to honour on-the-spot payment of their membership fees at the established poll centres, should be allowed to do so, adding in case of absence of receipts, special arrangement should be made to keep proper records for ordinary procedures to be followed later.

The new arrangement (voters’ participation in the exercise) nullifies the previous arrangement that required all eligible voters also to be in possession of voter identification cards.

“Voters will be allowed to vote without holding identification cards but their names should be found in the local branch register to avoid ‘mercenaries’ who might be inclined to interfere with the polls,” he clarified.

Commenting on representation at vote counting centres, the party leader said aspirants were allowed to deploy agents whom they trust most to represent them at the respective branches to authenticate the number of votes cast and scored the aspirant. There are 20,000 CCM branches nation-wide.

With regard to secrecy prior official announcement of the election results, Mr Makamba said election supervisors, co-ordinators and agents inside vote counting rooms would not be allowed to use their mobile phones to avoid misinformation to the media.

“However, contenders are allowed to visit poll stations but not entering vote counting chambers. Their names written in alphabetical order will be on display outside the stations and voters will have their names called out loudly to rule out the possibility for outsiders to spoil the votes,” he explained.
Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’ | Daily News Election Portal

MY TAKE: Naanza kuwa na wasiwasi hii nchi ina watu walio juu ya sheria, nilikuwa nina imani na umakini wa Sitta lakini sasa naanza kuwa na wasi! Kwanini basi? Huyu mkewe Mh Mama Sitta ninamfahamu fika na ninadiriki kusema hata kabla hajawa mbunge wa kuteuliwa yaani alipokuwa kiongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa walimu nakumbuka alitumia fedha alfu sabini 70,000 kushinda kiti hicho wakati huo...! sasa kuona Mumewe anawika hapa naanza kuwa na wasi kuwa tudhaniao ndio kumbe sio! Tuache sheria zifuate mkondo na Mungu naomba anilaani kama nasema uwongo! ila nadiriki kusema huyu mama si safi na ninaamini kabisa alikuwa akitoa rushwa! sheria ifuate mkondo wake maana hakuna aliye juu ya mkono wa sheria hata kama umeshiriki kutunga sheria zinazokuhenyesha sasa !!!
 
Yup hakuna aliye juu ya sheria

Kama wao ni target basi walitakiwa wawe wasafi,inawezekana kuwa kuna wengine wanatoa rushwa hawazongwi ila hainfanyi aliyeshikwa kuwa mwema.

WANASEMA MWIZI SI MWIZI MPAKA ATAKPO SHIKWA TEHE TEHE TEHE
 
Kama kweli kakutwa na bahasha tupu nyingi, simu mpya saba na shs milioni moja lazima itakuwa alikuwa anatoa rushwa ama alikuwa na dhamira ya kutoa rushwa.

CCM yote imeuza kwa rushwa kwani Rushwa ni sehemu ya CCM
 
Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’
MY TAKE: Naanza kuwa na wasiwasi hii nchi ina watu walio juu ya sheria, nilikuwa nina imani na umakini wa Sitta lakini sasa naanza kuwa na wasi! Kwanini basi? Huyu mkewe Mh Mama Sitta ninamfahamu fika na ninadiriki kusema hata kabla hajawa mbunge wa kuteuliwa yaani alipokuwa kiongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa walimu nakumbuka alitumia fedha alfu sabini 70,000 kushinda kiti hicho wakati huo...! sasa kuona Mumewe anawika hapa naanza kuwa na wasi kuwa tudhaniao ndio kumbe sio! Tuache sheria zifuate mkondo na Mungu naomba anilaani kama nasema uwongo! ila nadiriki kusema huyu mama si safi na ninaamini kabisa alikuwa akitoa rushwa! sheria ifuate mkondo wake maana hakuna aliye juu ya mkono wa sheria hata kama umeshiriki kutunga sheria zinazokuhenyesha sasa !!!
Mungu hawezi kukulaani kwa sababu hujasema uongo. Labda atakulaani kwa kuwa mnafiki kwani mwaka 2005 Jakaya Kikwete alishinda wagombea wengine wa CCM kwa kutumia rushwa, lakini ukaona ni sawa tu. Na hata sasa Lowassa, Rostam and co wameendelea kutumia rushwa ili kuhakikisha baadhi ya wabunge wasema ukweli hawarudi bungeni lakini unaona ni sawa tu... CCM inanuka rushwa... kuanzia kwa mwenyeketi wa taifa hadi mtendaji wa mtaa.... Hakuna wa kumhukumu mwingine. Kama unataka Mungu asikulaani anza kumpigia kelele kinara na mwanzilishi wa kuhonga kwenye kura za maoni... the one and only one Kikwete....
 
Tuhuma itathibitishwa na nani? Kuna kesi zitapelekwa mahakamani ili watuhumiwa waweze kuthibitishwa na mahakama kwamba kweli walitoa rushwa? Huo muda uko wapi? Maana vikao vya CC na NEC viko wiki ijayo.

Au NEC na PCCB ndio watakaofanya kazi ya kuthibitisha kwamba kweli mgombea fulani alijihusisha na rushwa? Sioni kama kuna haki itatendeka hapo. Hii ni njia ya kuwachinjilia mbali wale wote ambao CCM haiwataki warudi Mjengoni.
 
Kama kweli kakutwa na bahasha tupu nyingi, simu mpya saba na shs milioni moja lazima itakuwa alikuwa anatoa rushwa ama alikuwa na dhamira ya kutoa rushwa.

CCM yote imeuza kwa rushwa kwani Rushwa ni sehemu ya CCM
Mbali zaidi hizo simu hazikuwa na chip card kusema alikuwa akizitumia zote bali zilikuwa mpyaaaa! peee! ndani ya nylon! Halafu majinga hapa yanapumbazwa! hatuwezi kumaliza rushwa kwa kusema mbona fulani katoa ni kupotosha dhana nzima ya mapambano kama fulani alitoa akaepukika kukamatwa haimaanishi atatoa milele bila kukamatwa na haimaniishi huyo mama Sitta hakuwa akitoa hiyo 2005! au unataka tukueleze hayo pia?
 
Huko nyuma watu walishasema Sitta asifunike watu kwa kujifanya kinara dhidi ya hao anaowaita mafisadi, yeye anatumia tu hoja hiyo kupambana na maadui zake wa kisiasa lakini ukweli unabaki pale pale kuwa yeye na mkewe sio waadilifu kama anavyotaka tuamini; wangekuwa waadilifu wasingedumu humo ndani ya ccm!! Sasa mkewe kakamatwa na huo mgao aliotaka kutoa kwa wapiga kura halafu mumewe anakuja na hoja ya kuwa TAKUKURU are acting unprofessionary kwa kuwa wamembamba memsab wake; huu ni upuuzi tu!!
 
Tuache sheria zifuate mkondo wake tusianze kuwahukumu watu, ukikamatwa na kitu si lazima ulikuwa na mpango mbaya nacho hadi mahakama itakapo prove with no doubt. Hata hivyo Takukuru haina mamlaka ya kuhukumu mtu.
 
Huyu mkewe Mh Mama Sitta ninamfahamu fika na ninadiriki kusema hata kabla hajawa mbunge wa kuteuliwa yaani alipokuwa kiongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa walimu nakumbuka alitumia fedha alfu sabini 70,000 kushinda kiti hicho wakati huo...! sasa kuona Mumewe anawika hapa naanza kuwa na wasi kuwa tudhaniao ndio kumbe sio! !!!
Kama ulikuwa unajua alihonga elfu 70 na ushaidi unao ni bora ungeripoti kwenye vyombo husika kuliko kusema sasa kitu ambacho hakitasaidia.
 
Kama ulikuwa unajua alihonga elfu 70 na ushaidi unao ni bora ungeripoti kwenye vyombo husika kuliko kusema sasa kitu ambacho hakitasaidia.
kwa wakati huo kaka mie nilikataa kupokea na sikuweza sema maana si unajua kesi zinavyobadilishwa? au weye mgeni Bongo? unacheza na wakubwa sio?
 
Mungu hawezi kukulaani kwa sababu hujasema uongo. Labda atakulaani kwa kuwa mnafiki kwani mwaka 2005 Jakaya Kikwete alishinda wagombea wengine wa CCM kwa kutumia rushwa, lakini ukaona ni sawa tu. Na hata sasa Lowassa, Rostam and co wameendelea kutumia rushwa ili kuhakikisha baadhi ya wabunge wasema ukweli hawarudi bungeni lakini unaona ni sawa tu... CCM inanuka rushwa... kuanzia kwa mwenyeketi wa taifa hadi mtendaji wa mtaa.... Hakuna wa kumhukumu mwingine. Kama unataka Mungu asikulaani anza kumpigia kelele kinara na mwanzilishi wa kuhonga kwenye kura za maoni... the one and only one Kikwete....

Mkuu hii ni sheria mpya ya uchaguzi, waache TAKUKURU wafanye kazi yao mpaka hapo watu watakapo elewa kwamba kutoa rushwa ni sumu ya maendeleo ya inji hii...

Si mhukumu mgombea yeyote aliyetuhumiwa kwa sasa lakini kama ushahidi unajidhihirisha, basi huwezi kusema eti mbona fulani alitumia rushwa mwaka X and Y then namimi leo nifanye hivyo hivyo!
 
Is this not a double standard Mr Makamba!!! If the party's stance is to eradicate corrupt leaders based on accusation,then why Mr Chenge, Rostam, Lowasa, are still the NEC members. Why this regulation should be imposed now! Does allegation convict anyone Sir!
To Mr sitta, when you decided to exonerate the fisadis in the parliament, did you think the war is over! not! These are the ramification of ''half measures'' you and fellow MPs attempted on Richmonduli,Ticks,etc. Now they are back with vengeance.
 
Mkuu hii ni sheria mpya ya uchaguzi, waache TAKUKURU wafanye kazi yao mpaka hapo watu watakapo elewa kwamba kutoa rushwa ni sumu ya maendeleo ya inji hii...

Si mhukumu mgombea yeyote aliyetuhumiwa kwa sasa lakini kama ushahidi unajidhihirisha, basi huwezi kusema eti mbona fulani alitumia rushwa mwaka X and Y then namimi leo nifanye hivyo hivyo!

Ewe mdangiyika nani kakudanganya TAKUKURU wanafanya kazi yao? Kama unaamini hii inayoendela sasa ni vita ya rushwa basi wewe una matatizo makubwa. Vita ya rushwa haiendeshwi namna hii mdanganyika mwenzangu!
 
Mungu hawezi kukulaani kwa sababu hujasema uongo. Labda atakulaani kwa kuwa mnafiki kwani mwaka 2005 Jakaya Kikwete alishinda wagombea wengine wa CCM kwa kutumia rushwa, lakini ukaona ni sawa tu. Na hata sasa Lowassa, Rostam and co wameendelea kutumia rushwa ili kuhakikisha baadhi ya wabunge wasema ukweli hawarudi bungeni lakini unaona ni sawa tu... CCM inanuka rushwa... kuanzia kwa mwenyeketi wa taifa hadi mtendaji wa mtaa.... Hakuna wa kumhukumu mwingine. Kama unataka Mungu asikulaani anza kumpigia kelele kinara na mwanzilishi wa kuhonga kwenye kura za maoni... the one and only one Kikwete....

Siyo rushwa tu, timu ya JK itumia siasa za maji taka, mbaya mno. Rafiki yetu Salim Ahmed Salim alisemwa vibaya kwamba yeye siyo Mzanzibar ilihali amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania. Mambo mengine machafu aliyopakaziwa ni vibaya kuyaandika hapa. Salim ambaye amekuwa waziri mkuu wa serikali ya Tanzania alipakaziwa mabaya na haohao mtandao wa JK. JK na timu yake wamezoea siasa za maji taka.
 
MM usiwe na wasiwasi, acha wapambanaji waenguliwe. Slaa alienguliwa hivyohivyo na sasa ndiye ameongoza nchi yetu akiwa bungeni na sasa ni rais Mtarajiwa. Wakienguliwa Chadema kitawapokea na wataifanyia watawatumikia watanzania kama Dr Slaa.
 
Huyu nae mtu mzima ovyooo! heri akae kimya tu kuliko kupanua mdomo wake na kuzidi kujipaka kinyesi. Babu mkeo corrupt same as you, RA, EL et al
 
Huyu nae mtu mzima ovyooo! heri akae kimya tu kuliko kupanua mdomo wake na kuzidi kujipaka kinyesi. Babu mkeo corrupt same as you, RA, EL et al

Kanda2 hivi kuna mzazi au shehe au mchungaji anaweza kukufundisha lugha chafu hivi?. Kwa nini usijiheshimu?
 
Ewe mdangiyika nani kakudanganya TAKUKURU wanafanya kazi yao? Kama unaamini hii inayoendela sasa ni vita ya rushwa basi wewe una matatizo makubwa. Vita ya rushwa haiendeshwi namna hii mdanganyika mwenzangu!

Hebu nielimishe Mdanganyika kwani vita ya rushwa inaendeshwaje??
 
Back
Top Bottom