CHADEMA, Slaa wang'ara Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA, Slaa wang'ara Mwanza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mutu, Aug 1, 2010.

 1. M

  Mutu JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimeona nyomi la watu, check hapo chini mniambie wadau.
  [​IMG]
  [​IMG]

  1.Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza.

  2.Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, ambaye alijunga na chama hicho hivi karibuni akitokea chama cha NCCR Mageuzi, akiwahutubia wakazi wa jiji la Mwanza, katika mkutano wa hadhara wa kuomba kudhaminiwa, aliuofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha jana.


  [​IMG]
  Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, akilakiwa na wakazi wa mji wa Musoma, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, akitoea Arusha jana, ambako alikwenda kuomba udhamini.


  [​IMG]
  Makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo mgombea wa nafasi ya urais, Dk. Wilbrod Slaa (kulia), wakijadili ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kabla ya kuanza safari ya kwenda Mwanza kuomba udhamini jana. Katikati ni Mwenyekiti wa taifa, Freeman Mbowe na kushoto ni mwanachama mpya wa chama hicho, Mabere Marando.  [​IMG]
  Viongozi wa CHADEMA wakipanda ndege kutoka Arusha kwenda Mwanza


  Source: Hakingowi blog
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh kumbe kuna blog vinazo mwaga vitu chek hapa picha za Chadema za kumwaga na za CCM ,Utaona pia wanachama CCM wakichapana makonde baada ya mmoja kumuuliza shyros banji swali la utata(sijuhi lipi aliye na data atumwagie)
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hahaa hivi wana kinondoni kweli kabisa kwa utashi wenu mnaweza kumchagua huyo mwanamasumbwi km shyrose? km yeye akiulizwa swali anapigana huko bungeni atafanya nini?
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :focus::focus::A S 465:

  Mkuu najua hukumanisha kupost hii hapa
   
 5. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tears On my Cheeks! pls Tanzanians let be on 31st October
   
Loading...