Exclussive: RO and TISS are intefering with CCM's Primaries | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Exclussive: RO and TISS are intefering with CCM's Primaries

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Enigma, Jul 28, 2010.

 1. Enigma

  Enigma Senior Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hi dear friends,

  Me and my little ones (vinzi) we have been moving around the country following CCM's election primaries. It has come to my attention that yesterday RO has confirmed what some of us have sensed for sometime now about CCM's candidates in the primary that some candidates are too important to the future of the party "and the country" that can and must not be allowed to lose. It is alleged that he directed some DSOs around the country to spare no expense in ensuring some certain candidates preferred by high level government officials sail through the primaries.

  - In Mkuranga the DSO Mr. Rashid Gongo has been directed to offer full support in all ways to ensure that Mr. Adam Malima (current MP) wins. The other candidates (Kiame and Ulega) have complained to PCCB about what they perceive to be corrupt practices done by Mr. Malima's wife with no action taken so far. PCCB officers have been told not to interfere.

  - In Mafia another candidate purportedly to be supported by RO is poised to win even though it is a known fact in the IC that he has been using a fake O'level certificate (that of his younger brother). The candidate Abdukarim Buji as you remember was one of the members in the preparation committee for RO's daughter few weeks ago as reported by M.

  - There are other areas around the country where some DSOs for what seems to be "orders from the top" are clearly interfering with the process CCM's primaries by making it very hard for PCCB's officials to work freely and independently. If things stands as they are PCCB will probably not bring any high level politician to court even when the evidence for their involvement in corruption is clear. So far what we can say for sure is that money is not a problem in this plan.

  We are splitting to cover more intelligence briefs some are going to the Lake Zone, others will be in the Southern regions while others will remain in Dar to bring your more good stuff.

  .. see ya!!
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  That is great news, I hope Tanzanians will understand this time the situation which is so bad now. Lets us act/play our part, wait and see what happens this year (while knowing that what we are doing is for this country) and not for individual. So far as I know, more of the ruling part candidates will never stop corrupting people because that is what they found since when they became members of the party.
   
 3. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #3
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  well gathered preliminary report...lets get to the root basi.....maana it make sense kwa namna mambo yanavyoenda ni kweli there are untouchables....kila mtu mwenye info alete..tujadili
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  kuna vitu interesting vinaendelea..
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  yaani katiak chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania Nadhani huu ni wa aina yake, uchaguzi umegubikwa na mambo ya kila aina
  1) Kuna wabunge wanaotakiwa na makundi ya ufisadi yakiongozwa na RA na EL, hii nayo ni vita chafu mno, inafikia mpaka point ya kumraghai mbunge kuwa akajiandikishe kwenye jimbo jipya ambalo halipo,

  2) Watu wa usalama nao nadhani wanapata maelezo kutoka kwa mkuu wa mjengo kwamba fulani lazima arudi bungeni,

  sasa huu ni mchakato wa ndani ya CCM pekee, hofu kubwa inakuja pale watakapokuwa wakishindana na watu wa vyama vingine kuna dalili kubwa za wagombea kupoteza maisha au kulazimishwa kujitoa hatua za mwisho
   
 6. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :A S angry:Nitalia mie
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  i ndo siasa yetu
  mwaka huu ata km wakipata wanayoyataka lakin shughuli watakuwa wameifanya ya kutosha
   
 8. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  The alias and acronyms: RO, Mr M., TISS, and the etc. make the reading like hell! Anyway, important to all these is the message conveyed to those supposed to handle the fate of our country. The message itself is not an academic exercise it is for reasonable and thinking citizens.

  Jukwaa la siasa sasa limejaa neno, rushwa, rushwa, rushwa, etc. Kama kweli usalama wan chi hawataona lolote la kujifunza kutokana na vurugu kama hizi basi tuna halali ya kusema hatuna serikali. Vurugu za aina hii kwa wagombea toka chama kimoja! Ningeelewa kama matatizo kama haya yangetokea kwa wagombea wa vyama tofauti. Hiyo ni kawaida. Lakini siyo hii.

  Hata hivyo nasema haya yote niliyategemea sababu kubwa ni uzembe wa serikali na hasa Rais kukubali kuwafanya wanasiasa kuwa ndo watu wanaopata malipo bora kuliko wote. Hakuna siasa wala maendeleo. Ni ulafi wa kipato tu!
   
 9. E

  EL+RA=UFISADI Member

  #9
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank you ENIGMA for this useful post. Ila tuangalie na dimension nyingine, watu wa TISS (Usalama wa Taifa) wanatumiwa pia to sabotage candidates kwenye primaries ambao wanaonekana kuleta chokochoko kwa wakubwa wa nchi na utawala wa JK. Wanasiasa kama Samuel Sitta, Harisson Mwakyembe na wengineo wako hatarini kuenguliwa kwa kutumia haohao DSO (district security officers) wa TISS na maofisa wa PCCB. Bosi wa PCCB, Edward Hoseah, ameapa kuwa lazima afe na wabunge waliomjeruhi kwenye kashfa ya Richmond. He has a personal vendetta kali sana sana.
  Pia RO (bosi wa TISS wa sasa) is not fully in control ya Usalama wa Taifa. Bado bosi wa zamani, CA, ana nguvu kubwa kwenye system na pia hao DSO na maofisa wengine wa TISS wamekuwa mercenaries, wanafanya kazi na kumtumikia the highest bidder kutokana na jinsi rushwa ilivyokuwa so institutionalised hapa nchini.
  Hapo ndiyo mafisadi kama Edward Lowassa na Rostam Aziz wanapotumia pesa zao haramu kuwamaliza maadui wao wa kisiasa kwa kuitumia TISS na PCCB.
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wakuu,
  samahani kidogo who is RO?
  nashindwa ku-connect dots hapo
  who is RO?
   
 11. E

  EL+RA=UFISADI Member

  #11
  Jul 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SOME USEFUL ACRONYMS

  TISS = Tanzania Intelligence and Security Service (Usalama wa Taifa)
  RO = Rashid Othman, director-general of TISS (Mkuu wa Usalama wa Taifa)
  DSO = Distric Security Officer wa TISS
  CA = Cornel Apson, bosi wa zamani wa TISS
  EL= Edward Lowassa
  RA= Rostam Aziz
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ahsante
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Enigma et al;

  this news was not unexpected... it is a common practice sio kwa Tanzania tu
   
 14. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Kwa muda mrefu nilikuwa sijakusikia Enigma.

  Waiting to hear more interesting stuff from you!
   
 15. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,977
  Trophy Points: 280
  mie sielewi maana ya RO na TISS
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  sijui hata kama mnasoma posti zilizotangulia au ndiyo basi tena..
   
 17. a

  afande samwel Senior Member

  #17
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .

  3.Kuna kundi lingine la wanaojiita vinara wa kupigana na ufisadi.Nalo linamtandao wao ambapo wamejipanga kuhakikisha wanarudi bungeni, wakifadhaliwa na mfadhali wao wakila siku.
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Jul 28, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  .....kuna wabunge na mawaziri wanatoa rushwa live na wala hawaulizwi....ie shamsa mwangunga,....anagawa pesa hadi watu wanashangaa anazitoa wapi ..pesa mpya mpya tu...sources zinasema hawa wananchi wa kawaida wanashangaa kama atapitishwa au atapigwa panga.....wagombea maskini mwaka huu watalia sana...
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  PM.. ndiyo maana kura za maoni zilivyo ni geresha ya demokrasia tu; hazina umaana wowote zaidi ya kuvuruga utaratibu wa uchaguzi. Zingekuwa ni final basi tungesema zina umaana. Matokeo yake kuna baadhi ya majimbo wakuu hawajali nani anaanguka lakini kuna baadhi ya watu wakuu hawako tayari kuona wanaanguka kwa hiyo wanawabeba kwa nguvu zote.

  Na hizo hela kwa kweli nyingyi mno zilizotengwa kwa maoperatives wa TISS...
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mhhh Kwa hiyo kumbe kuna maoperative wa TISS ambao ni wanasiasa.

  Au mfumo wa TISS inabidi wawe na "special operatives" mpaka mjengoni ambao ni muhimu kuwabeba? Kwa nini wasiwaelekeze baadhi ya maoperayive wao wagombee kwa vyama vingine nje ya chama tawala na TISS watumie njia zozote kuhakikisha wanashinda.?

  Does it mean With this " Big paerty" national security is at Risk or without this party in leadership our National security is at Risk ????
   
Loading...