Kwanini tovuti ya Chadema haiwi updated?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,189
79,421
Jamani kama vyombo vya habari kama issamichuzi.blogspot.com, TBC na Star TV havitaki kuleta habari; kwanini website ya Chadme (i.e. Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)) haiwi ikiweka habari mpya kama safari za kutafuta wadhamini za Slaa? hivi kwa mwendo huu mwamko utatoka wapi? Tunataka kuona yanayojiri sasa yakiwekwa ili tujue ni ngapi tuchange si unajua wengineo ni doubting Thomas mpk tuone yanayojiri?
 
Hapo ndipo chadema wanapoboa, wao wenyewe wanashiriki ku ji sabbotage, picha tumesema mpaka tumechoka hawafanyi gazeti wanalo tanzania daima, ,lina wapiga picha wazuri wakutosha, kwa nini wasi assign mtu mmoja akafanya hiyo kazi? hilo pia watasingizia CCM? Michuzi waachane nae muache achelee anakopatia mlo wao waanze vyao mimi sikujua hata kama wana website, shit!
 
Inaonekana huu ni utamaduni wa taifa.Nina imani kuna vwatu kibao wanaoweza kufanya hata volunteer work bure, tatizo organization tu.

Kiranga.. Chadema haiwezi kutegemea volunteer tu.. ni lazima iwe tayari kubajeti mambo hayo na kulipa watu kufanya hivyo. Wasipokuwa tayari kulipa hata kidogo wasitegemee watu wajitolee tu. Hapa napo pana tofauti kati yao na CCM.
 
Naelewa hilo,

Ninachosema hapa ni "worst case cenario", hawawezi hata kutoa excuse kwamba hawana funds kwani nawajua personally watu kibao ambao wangeweza kufanya hiyo kazi on a volunteer basis.

Ndiyo maana nikasema ni swala la poor organization tu. Watu hawawezi ku update website wanataka kuachiwa nchi.
 
Labda kwa kuwa muda mrefu wanashinda JF, ndo maana hawawi up to date kwenye website yao.
 
Back
Top Bottom