Elections 2010 Media Acheni Roho Mbaya Kwa Slaa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Nimefuatilia kwa karibu sanani vyombo vingapi viliandika kuhusu Dr. Slaa kule Arusha na jimboni kwake juzi ilee, lakini ukweli ni kwamba ukiacha kwa upande wa TV stations; Channel Ten na ITV hawa wajumbe wengine kama TBC hawakuonyesha kabsaa, nikasubiria niione siku yake ya pili labda walikuwa wanafanyia editing, wapi!!!

Wadau, hii ni kampeni au ni kwamba TBC na baadhi ya magazeti hawana wawakilishi kule Karatu na Arusha??

Nisaidieani
 
Kuhusu TBC mimi sasa wala sina doubt tena kuwa inatumika kwa maslahi ya CCM, nami nilikuwa najiuliza sawli kama hili hivi kwanini TBC wanaonesha tu mchakato wa wagombea ubunge kupitia CCM ina maan vyama vingine havifanyi michakato hii! nilikuwa kidogo nishawishike kuwa vyama vingine havina michakato, ila wazo hili lilifutika baada ya kusikia kule Mbeya Chedema walikuwa nao wanakura za maoni juu ya wagombea wao lakini ajabu TBC wala sio tu kulitangaza hata kugusia tu juu ya mchakato huo! Kiboko ni pale juzi Makamba alivyokuwa akiongea na waandishi wa habari, TBC walionesha kwenye taarifa ya habari, na kama haikutosha wakaona waweke kabisa kipindi maalum,! sasa ukajiuliza hivi huo UMAALUM wa kipindi kile ulikuwa wapi? Tido na TBC yake waelewe tu ipo siku historia itawahukumu na unafiki wao!
 
Unajua hawa watu wakishakuwa madarakani huwa wanajisahau sana. Lakini wanaweza mfanyia Slaa vituko vya kila aina na siku ya siku wakakuta ndiyo Rais. Sijui Tido ataficha wapi uso wake usio na haya katika kuwalinda mafisadi. Tido anatakiwa awe makini sana na mambo anayoyafanya TBC. Ni vema atambue kwamba TBC ni television ya UMMA na inaendeshwa kwa kodi zetu, siyo television ya CCM ile. Ni vema akaitumia vizuri kwa maslahi ya watanzania wote ambao wavuja jasho ili kumlipa yeye mshahara.
 
kusema ukweli hata mimi naona TBC na media nyingine wanaisaidia CCM kwa wazi kabisa. Hili swala la vyombo vya umma kutumikaa kwa manufaa ya CCM pekee si Utawala Bora wala maadili ya vyombo vya habari. Nadhani inabidi tumtafute Mzee Tido Mhando ili tumuulize kama ni amri au maelekezo ameyapa na kutoka kwa nani au ni utashi wake mwenyewe wa shukrani kwa Mzee aliyempa ulaji hapo.
 
Nilianza kuisifu TBC kwa objectivity lakini kwa hili naona wamepotoka na kukiuka maadili ya utangazaji. Sasa kama hiki ni chombo cha umma kwanini wawe biased? au ndo twarudi enzi zile za kipindi kile cha RTD. Au kwao habari za umma ni CCM?
 
Leo wataonyesha hili la Slaa kuvunjika mkono, si ndio raha yao....angalieni tu baadae kwene taarifa yao ya habari. Full uzushi.
 
Nimefuatilia kwa karibu sanani vyombo vingapi viliandika kuhusu Dr. Slaa kule Arusha na jimboni kwake juzi ilee, lakini ukweli ni kwamba ukiacha kwa upande wa TV stations; Channel Ten na ITV hawa wajumbe wengine kama TBC hawakuonyesha kabsaa, nikasubiria niione siku yake ya pili labda walikuwa wanafanyia editing, wapi!!!

Wadau, hii ni kampeni au ni kwamba TBC na baadhi ya magazeti hawana wawakilishi kule Karatu na Arusha??

Nisaidieani

Baraza la habari linasema kama mtu hajaridhika na habari au utendaji wa chombo chotechote aandike barua kwa mwariri mkuu wa chombo hiko then mwariri anatakiwa atoe majibu. NASHAURI KAMA TUNA WEZA IFANYIKE SASA TIDO AANDIKIWE BARUA ATOE MAEEZO ASIPOTOA TURIPOTI KWENYE BARAZA A HABARI TUONE WATACHUKUIWA HATUA GANI.
 
Shame on You TIDO, Unalipwa kwa Kodi Zetu lakini unakuwa Kibaraka. Nasema tena Shame On You Tido Mhando
 
Lakini Tido mbona alipokuwa BBC alikuwa makini sana na alijizolea sifa kemkem, lakini leo hii anafanya madudu! Imekaaje hii wajameni? Huyu Tido wa sasa siyo yule wa zamani. Hawafanani kabisa. Tido wa enzi za BBC uko wapi? Rudi bana!!
 
mzee tido ananikumbusha kisa cha afande aliyekabidhiwa kitengo cha matengenezo ya magari alivyokuwa akimsumbua mkuu wa kikosi na ambaye alimzidi kicheo.ikatokea bahati akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi ndipo akaanza kujikomba.....afande hongera sana sana na gari yako ipo tayari... akamwambia asante na hiyo gari sina haja nayo kuna gari ya mkuu wa majeshi wameshaniletea...kilichofuatia jamaa aliomba kustaff. hiyo ndo faida ya ubaya hua ni aibuuuuu
 
Njaa Mbaya..mpaka TIDO naye anauza uhuru wake....Ngoja Slaa aingie madarakani..watajuta
 
Lakini Tido mbona alipokuwa BBC alikuwa makini sana na alijizolea sifa kemkem, lakini leo hii anafanya madudu! Imekaaje hii wajameni? Huyu Tido wa sasa siyo yule wa zamani. Hawafanani kabisa. Tido wa enzi za BBC uko wapi? Rudi bana!!

Amejiunga nao wamembatiza jina anaitwa FISADI TIDO
 
Nadhani hata Vyombo vya dola viongeze ulinzi wa wagombea au vinasubiri mpaka NEC watakapokuwa wametangaza majina ya wagombea, Kama Dr. Slaa alipokuwa Musoma sikuona kwanini Polisi waliruhusu washabiki kusogea karibu na viongozi wakuu wa CHADEMA kiasi hicho, nadhani siku moja atakuja chizi akajifanya kuwa ni mfuasi wa CHADEMA kumbe ni sucidal killer. Nadhani ahat CHADEMA suala la Usalama wa Dr. Slaa sasa hivi lipewa mtazamo tofauti.Sidhani kama huyo asiye na shati ni kiongozi wa CHADEMA Nadhani kuna umuhimu wa kufuata ushauri wa MMKJJ kuwa CHADEMA wanyanyue status ya Dr. Slaa kuwa sawa na ya mtu anayekuja kuongoza Taifa
CIMG1743.JPG
 
Back
Top Bottom