Wapendwa wa ccm;mkipanda bangi kesho mtavuna bangi;kazi kwenu kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapendwa wa ccm;mkipanda bangi kesho mtavuna bangi;kazi kwenu kesho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Jul 31, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Kama tutarajiavyo
  kesho ni kesho aliesema keshokutwa mwongo..wapendwa wana ccm tunaomba msituchagulie mafisadi na kuja kulalamika wakiwa bungen..naomba mjue apandae Bangi atavuna Bangi..kama mnamchagua wala rushwa msipige kelele wakiwa madarakani tafadhali

  Tunaomba muwe makini sana na mtakaowachagua dhamana hii msije kuijutia hapo baadae kwa sh alfu kumi kumi zilizomwagwa kwa watu wakati wa kampen wakati wa kupiga kura akuna anaekuona unampigia nani tusiangalie vijisent vilivyomwagwa tuangalie watatufanyia nini hawa tunaowachagua.....tunawatakien kila la kheri tulitamani kupiga kura lakini kutokana na ujenzi wa taifa tunasikitika tutakuwa nanyi kiroho

  Mungu ibariki CCM Mungu ibariki Tanzania
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tehe tehe tehe sasa ndugu yangu ardhi ya CCM inakubadili bangi tu ndio kilimo cha humo .
  Yaani unategemea mazao mengine yana mea huo pole.
   
 3. A

  Audax JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni kweli-lkn kama zilimwagwa-waliozoa lazima warudishe fadhila
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Ni kweli si haba kuwashauri kabla ya shuguli unajua hawa ndugu zangu wanaaribu alafu wanakuja kupakaana matope watu wakiwa wanakula kuku...ukiuliza wanadai kwani bangi si imeumbwa na mungu ...nani kakwambia mungu kaumba kibaya....duhh haya kazi kwenu ndugu zangun muda mchache na masaa machache tubadilishien wavuta bangi...
   
Loading...