na Grace Macha, Moshi
UMOJA ya Makanisa ya Kikristo mkoani Kilimanjaro, umetoa waraka unaowataka wananchi kuchagua viongozi bora, huku wakisisitiza umuhimu wa kuchagua watu badala ya vyama...
LICHA ya sheria na kanuni za Uchaguzi kuzuia matumizi ya magari ya serikali, msafara wa mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete umetumia magari kadhaa ya serikali katika mikoa ya Mwanza, Geita na...
Wote tumeona jinsi JK alivyoanza kampeni yake kwa rafu kubwa (achilia mbali ishara ile (tafsiri utakavyo) iliyotokea Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni.
Rafu hizi, kama alivyoziainisha Dr...
Kuna habari kwamba waandishi wa habari hasa kutoka habari corporation wanatumika katika kampeni za kumnadi Rais Kikwete, na wale wote wanaokwenda kinjume na maslahi ya CCM wanafukuzwa katika...
Ukimya wa Reginald Mengi wa IPP, aliyewahi kuapa hapo nyuma kuwa moto aliouwasha dhidi ya wahujumu na mafisadi wa nchi hii kamwe hautazimika, unatisha. Kwa mbali nakumbuka hotuba ya Jakaya Kikwete...
To what extent i dont know....
On the morning of July 15, I spoke to William Mitchell Law Professor and
international criminal defense attorney Peter Erlinder about the grisly
assassination...
Rais Jakaya Kikwete
Na Waandishi Wetu
Wakati Shirikisho la Vyama vya Wanyakazi nchini (TUCTA) likidaiwa linajipanga kutoa tamko la kuwataka wafanyakazi wote nchini kutompigia kura Rais Jakaya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUJITOKEZA KWA UKIUKWAJI MKUBWA WA MAADILI YA TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI KATIKA HABARI ZA UCHAGUZI MKUU
Kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu 2010...
Katika kinachooonekana kuwa serikali ipo hoi kifedha kwa mara ya kwanza tangu tatizo la kuchelewesha mishahara kuwa historia nchi hii ..watumishi wa uma wameanza kupigwa kalenda kupewa mishahara...
ALIYEKOSA nafasi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rachel Mashishanga, ametangaza kumuunga mkono Fred Mpendazoe anayewania ubunge...
Kikao kilichoitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa K'njaro ndg. KAZIDI, wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi na kuhudhuriwa na wanafunzi wa vyuo kadhaa vya mjini Moshi, kiliazimia kuwa...
Kenya hatimaye imeandika ukurasa mpya katika historia yake, wenyewe wanasema new republic imezaliwa. Pamoja na mambo mengine wameondoa mikoa na kuleta majimbo ambayo yana madaraka ya kujiamulia...
Tupe asilimia ya sifuri sio 4. 4 ni 4 iwe ya 28 au ya 33 zote ni 4. Hoja ni sifuri sio 4.
Sasa 4 ya 29 hadi 33 unaweza kufanyia nini? Unajua pass rates kwa level ya div one had div three ni...
Nimepata habari leo kuwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation ambao hutchapisha magazeti mafu ya Rai, Mtanzania, The African, Bingwa, na Dimba kuwa ndiye Mratibu wa Kampeni za JK.
Mhingo...