CCM Kulipa wanafunzi wa vyuo vikuu kupiga kura Moshi mjni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kulipa wanafunzi wa vyuo vikuu kupiga kura Moshi mjni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kizimkazimkuu, Aug 27, 2010.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kikao kilichoitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa K'njaro ndg. KAZIDI, wiki chache kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi na kuhudhuriwa na wanafunzi wa vyuo kadhaa vya mjini Moshi, kiliazimia kuwa kila mhudhuriaji atafute orodha ya wanafunzi ambao wamejiandikisha kupiga kura katika jimbo la moshi mjini lakini hawataweza kupiga kupiga kura kufuatia kuwa likizo nje ya manispaa ya Moshi na kuiwakilisha orodha hiyo kwake na wanafunzi hao watapewa fedha za nauli (go and return) na fedha za kujikimu wakati wakisubiri kupiga kura.

  Hii itawahusu wanafunzi wote popote walipo Tanzania hii,ilimradi walijiandikisha kupiga Kura Moshi mjini. Katika kikao hicho, wahudhuriaji walipewa sh 10,000 za 'soda' na kuhakikishiwa kuwa kampeni zitakapoanza fedha itakuwa sio tatizo! Ndg. KAZIDI alieleza kuwa CCM moshi mjini itafanya kampeni kutumia wasomi ambao wanaelewa kwani inaonekana watu wa kawaida hawaambili juu ya mzee Ndesamburo!
   
 2. u

  urasa JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pesa twende kwa ccm ila kura tuwape chadema,pamoja tutashinda
   
 3. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  2005 walitoa nyingi zaidi, kwa kinamama simu,vitenge na kanga....
   
 4. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Akili ku mkichwa......

  We chukua pesa zao then kumbuka kura ni sili ya mtu mmoja tu, kwa hilo tungeomba wafanye Tanzania nzima ili kuwasaidia maelfu ya wanachuo ambao kuna uwezekano wa kukosa haki hiyo.
   
 5. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Niko Moshi CCM haina kitu,

  Mgombea wa CCM Nd Salakana hana nguvu ya kumthibiti Ndesamburo,
   
Loading...