Elections 2010 Ati Mhingo Rweyemamu ndiye Mratibu wa Kampeni za Kikwete!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Nimepata habari leo kuwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation ambao hutchapisha magazeti mafu ya Rai, Mtanzania, The African, Bingwa, na Dimba kuwa ndiye Mratibu wa Kampeni za JK.

Mhingo, ambaye mwaka 2005 akiwa Mwandishi wa Gazeti ya Mwananchi alichakachua picha za Salim Ahmed Salim na kutengeneza picha moja ikimwonyesha Salim akiwa na Wanachama wa Hizbu na hivyo kumpaka matope na hatimaye kufanikisha Dk Salim kutupwa nje ya harakati za kuwani Urais dhidi ya Dk Kikwete. Picha hizo zilisababisha Mhingo afukuzwe kazi na Mwanachi Ltd alikuwa akijihusisha/ kuhusishwa kwenye timu ya Kampeni ya Jk na alitumika kuwachafua 'wapinzani' wa JK kinyume na maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika Gazeti la leo la Mwananchi kuna habari kuwa Waandishi wa gazeti hilo wamezuiwa kuambatana na masafara wa KAmpeni za Dk JK huko Mkoani Kagera na Mratibu huyo wa Kampeni za Dk JK, Mhingo Rweyemamu.
 
Ambacho bado hajaua JK ni kwamba kundi kubwa sana la FISI linamfuata nyuma, yeye anatumika tu kama mtego wa kudanganya Watanzania, hao FISI ndo wanafaidi...these RA's guys are very opportunist, and indeed, very easy to switch loyalities....they are potentially, mercenaries...
 
Duh! Kama maadli yake ni utata hivyo amewezaje kupata nafasi ya kuratibu kampeni za CCM? Au kwa sababu CCM wamezoea uchafu na uozo wa aina hii ndio maana wanaona huyo ndiye anayewafaa kuratibu kampeni zao. Sasa naelewa kwa nini magazeti anayoyasimamia - Rai na Mtanzania- yamegeuka kuwa wakala wa CCM na kuandika porojo kuhusu wagombea wengine, hasa Chadema. Haya mambo mengine ya CCM yanatia kichefuchefu.:confused2:
 
Kama mimi ndiye ningekuwa JK, nisingeruhusu kamwe huyo bwana awe kwenye timu yangu ya kampeni maana hata kampeni zenyewe na tambo zake za kupiga vita ufisadi zitakuwa zinajigeuka maana KAGODA LTD nao wamo.
 
Ambacho bado hajaua JK ni kwamba kundi kubwa sana la FISI linamfuata nyuma, yeye anatumika tu kama mtego wa kudanganya Watanzania, hao FISI ndo wanafaidi...these RA's guys are very opportunist, and indeed, very easy to switch loyalities....they are potentially, mercenaries...

Je ina maana magazeti ya New Habari Corporation ndiyo Campaign machineries za thithiemu? At the end of the day they are the one benefiting most from JK's reign so they will do anything to ensure he retains the throne.
 
Bila shaka Muhingo amechukua likizo au amepewa kazi hiyo na Bosi wake RA na hapo ndipo tunaweza kuona ushirika wa kimapepo kati ya CCM na Mafisadi.
 
Ambacho bado hajaua JK ni kwamba kundi kubwa sana la FISI linamfuata nyuma, yeye anatumika tu kama mtego wa kudanganya Watanzania, hao FISI ndo wanafaidi...these RA's guys are very opportunist, and indeed, very easy to switch loyalities....they are potentially, mercenaries...

ikiona hivyo yeye ni mzoga. fisi hufuatilia mizoga ati!
 
CCM wameishiwa na watu makini wa kuamua maamuzi makini kabisa.Hii inatudhihirishia kuwa nchi hii kuwa chini ya CCM maana yake ni kuendelea kuwa nchi inayoongozwa kwa maslahi binafsi
 
Ukabila tu. Salva Rweyemamu kampa ulaji Muhingo Rweyemamu. Ndugu zetu hawa wana sifa moja kubwa ya kujua sana kujipendekeza na utiifu wa kinafiki.
 
It proves one and one thing only --- that JK cannot take RA to court over Kagoda. He's in his pocket. I love this country! Ina misingi mizuri sana ya haki!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huwa nawashangaa sana watanzania wazalendo wa nchi hii wanaosoma magazeti ya RA!!!!
 
Nimepata habari leo kuwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation ambao hutchapisha magazeti mafu ya Rai, Mtanzania, The African, Bingwa, na Dimba kuwa ndiye Mratibu wa Kampeni za JK.

Mhingo, ambaye mwaka 2005 akiwa Mwandishi wa Gazeti ya Mwananchi alichakachua picha za Salim Ahmed Salim na kutengeneza picha moja ikimwonyesha Salim akiwa na Wanachama wa Hizbu na hivyo kumpaka matope na hatimaye kufanikisha Dk Salim kutupwa nje ya harakati za kuwani Urais dhidi ya Dk Kikwete. Picha hizo zilisababisha Mhingo afukuzwe kazi na Mwanachi Ltd alikuwa akijihusisha/ kuhusishwa kwenye timu ya Kampeni ya Jk na alitumika kuwachafua 'wapinzani' wa JK kinyume na maadili ya Uandishi wa Habari.

Katika Gazeti la leo la Mwananchi kuna habari kuwa Waandishi wa gazeti hilo wamezuiwa kuambatana na masafara wa KAmpeni za Dk JK huko Mkoani Kagera na Mratibu huyo wa Kampeni za Dk JK, Mhingo Rweyemamu.

Mapandikizi yapo kila mahali mkuu!! Si wakati ule kule Mananchi RA alikuwa na hisa? Na sasa ameuza hisa yuko na Habari Cooperation aliko hili Mhingo!!! connect the dot, Salva alikuwa wapi kabla ya kupachikwa alipo? connect Salva, RA, Mhingo, Uwawala!! Uki-connect hizi dot ni msafara mrefu sana. Inachosha. Na pengine baadaye atapata ujira fulani kama Salva, who knows!!
 
Duh! Kama maadli yake ni utata hivyo amewezaje kupata nafasi ya kuratibu kampeni za CCM? Au kwa sababu CCM wamezoea uchafu na uozo wa aina hii ndio maana wanaona huyo ndiye anayewafaa kuratibu kampeni zao. Sasa naelewa kwa nini magazeti anayoyasimamia - Rai na Mtanzania- yamegeuka kuwa wakala wa CCM na kuandika porojo kuhusu wagombea wengine, hasa Chadema. Haya mambo mengine ya CCM yanatia kichefuchefu.:confused2:

Mkuu na wewe, swali gani hilo? Huko ndo kwenyewe kwenye majangili, wezi, wabakaji, wasaliti, wazembe, wasio raia, wapuuzi, wajinga, wa... we tafuta watu wa aina hiyo utawakuta huko
 
Huyu jamaa ni ndugu yake Salva Rweyemamu??? All in all, kuna kitu "@#@#@#@" anatafuta/ameahidiwa. Huenda mkuu akishinda atapewa u deputy Director wa mawasiliano ikulu
 
Duh! Kama maadli yake ni utata hivyo amewezaje kupata nafasi ya kuratibu kampeni za CCM? Au kwa sababu CCM wamezoea uchafu na uozo wa aina hii ndio maana wanaona huyo ndiye anayewafaa kuratibu kampeni zao. Sasa naelewa kwa nini magazeti anayoyasimamia - Rai na Mtanzania- yamegeuka kuwa wakala wa CCM na kuandika porojo kuhusu wagombea wengine, hasa Chadema. Haya mambo mengine ya CCM yanatia kichefuchefu.:confused2:

Qualification ya kwanza kwa mtu yeyote kuwa karibu na utawala wa JK (thithiem) ni kuwa na integrity ambayo ni questionable. Nadhani, kama wabunge wa CCM Shinyanga watashinda safari hii ndio utakuwa mkoa wenye wabunge wenye negative integrity kuliko yote Tanzania... Chenge, Kisena, Makondo, Nchambi.... ambao wote ni maswaiba wa mkulu lakini pia wana sifa moja kuwa integrity yao ni very questionable
 
Back
Top Bottom