Takwimu ya vyama Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takwimu ya vyama Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jethro, Aug 27, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Last week rafiki yangu toka Arusha alinitumia hii takwimu alioichunguza zaidi ya kati 20 mjini Arusha na akaja na haya matokeo

  UKABILA--------------------------
  CCM- 30 CDM-20 TLP-50
  UDINI------------------------------- CCM- 40 CDM-20 TLP-40
  JINSIA------------------------------ CCM- 20 CDM-20 TLP-60
  HAIBA/UHUSIANO WA WATU- CCM- 20 CDM-10 TLP-70
  HAIBA YA CHAMA--------------- CCM- 30 CDM-60 TLP-10

  Hapa napata picha kuwa kuna mgombea wa TLP ndie anaeleweka sana na hawa wa Chadema na CCM ambao ni vijana wantatizo gani hapa?

   
Loading...