Elections 2010 Hofu ya kushindwa imemfanya JK kuanza na gia ya rafu kubwa?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234

Wote tumeona jinsi JK alivyoanza kampeni yake kwa rafu kubwa (achilia mbali ishara ile (tafsiri utakavyo) iliyotokea Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni.

Rafu hizi, kama alivyoziainisha Dr Slaa jana kwa ufasaha mkubwa, zinaonyesha nini? Mimi nadhani hofu ya kushindwa uchaguzi -- katika kura ya urais ndiyo unamsukuma JK kufanya rafu, kwamba kwa kuwa vyombo vyote vya dola na vile vinavyosimamia uchaguzi viko chini yake, kwani watafanya nini?

Ni udikteta kwa tafsiri yoyote ile. CCM wamefikia mahali kwamba sasa hawajali kitu chochote – wanajifanyia wanalotaka, na watu kama Dr Slaa can as well go to hell, kwani watapata haki yao wanayodai wapi? Na wapambe wake wanitikia hivyo vibwagizo.

Tukumbushane kidogo: Kitu kama hiki tulianza kukiona wakati wa kesi ya mauaji iliyokuwa ikimkabali marehemu Ditopile (Mola amweke pema).

Kule mahakamani wapambe wa Ditopile walikuwa wanasikika wakijitapa: “Serikali yetu hii, kwani yenu? Hanyongwi mtu hapa, mnajisumbua bure!”

Lakini iko siku Mwenyezi Munguy atarudisha haki katika nchi hii inayozidi kupotezwa na utawala wa CCM. Iko siku…..
 
Mwaka huu lazima awe na hofu maana kuna watu wenye nia thabiti ya kuongoza nchi.

Lakini rafu kama kawa lazima zitakuja kuwaumbua maana kama unavyowaona hawajajipanga vema kiasi kwamba sometimes wanarkurupuka kujibu hoja na kudakia mambo ambayo hayapaswi kujibiwa. Subirini wale wasemaji wao watajikanyaga tu.
 
Ainisha hizo rafu kaka sio kulalamika tu?
1. Kutumia vyombo vya serikali katika kampeni ya kichama zaidi.
2.Kuachia watuhumiwa wa rushwa na wenye kesi zinazoelekea kuwa za jinai kuendelea na kinyang'anyiro cha ukuu wa jimbo.
3. Kutumia mafanikio ya serikali kama mafanikio ya chama ilhali walipa kodi sio CCM peke yake.
 
Wote tumeona jinsi JK alivyoanza kampeni yake kwa rafu kubwa (achilia mbali ishara ile (tafsiri utakavyo) iliyotokea Jangwani siku ya ufunguzi wa kampeni.

Rafu hizi, kama alivyoziainisha Dr Slaa jana kwa ufasaha mkubwa, zinaonyesha nini? Mimi nadhani hofu ya kushindwa uchaguzi -- katika kura ya urais ndiyo unamsukuma JK kufanya rafu, kwamba kwa kuwa vyombo vyote vya dola na vile vinavyosimamia uchaguzi viko chini yake, kwani watafanya nini?

Ni udikteta kwa tafsiri yoyote ile. CCM wamefikia mahali kwamba sasa hawajali kitu chochote – wanajifanyia wanalotaka, na watu kama Dr Slaa can as well go to hell, kwani watapata haki yao wanayodai wapi? Na wapambe wake wanitikia hivyo vibwagizo.

Tukumbushane kidogo: Kitu kama hiki tulianza kukiona wakati wa kesi ya mauaji iliyokuwa ikimkabali marehemu Ditopile (Mola amweke pema).

Kule mahakamani wapambe wa Ditopile walikuwa wanasikika wakijitapa: "Serikali yetu hii, kwani yenu? Hanyongwi mtu hapa, mnajisumbua bure!"

Lakini iko siku Mwenyezi Munguy atarudisha haki katika nchi hii inayozidi kupotezwa na utawala wa CCM. Iko siku…..
Rafu gani hizo?
 
CCM na makuwadi wao wanasheherekea ushindi kwa

1. Kufanya hujuma
2. Kuvunja sheria
3. Kuiba kura
4. Kutoa rushwa

Kama ni ushindi wa kujivunia, wakajivunie Jahanam, kwake Iblis, si Peponi, kwake Allah!

Innalillahi Wa Innalillahi Raaj'un!

Sikutegemea ufisadi huu kufanywa na mtu ambaye ni MUISLAM!
 
Kifo cha nyani miti yote huteleza. CCM inahaha, imepandwa na hofu kubwa. Chadema ina mgombea makini, anayekubalika, mwenye uchungu wa kweli na nchi hii na mwenye uelewa mpana.

CCM wanajua kabisa kwamba JK hana ubavu wa kushindana na Slaa ndiyo maana wamekataa mdahalo, lakini mwaka huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM.

Watanzania wameamka na wanaelewa machafu yote yanatendeka na CCM. Watanzania wanaelewa wazi kwamba nchi imetekwa na kikundi kidogo (Wenye nchi) na kuacha watanzania wengi kuwa watumwa ndani ya nchi yao waliyoipigania uhuru miaka 40 iliyopita. Kwa muda huu Tanzania si ya watanzania wote bali ni mali ya watu wachache (CCM) ambao wanawatumia watanzania ili kuishi maisha ya hanasa. Muda umefika wa kuichukua Tanzania yetu, kuitawala Tanzania yetu na kuwanufaisha watanzania wote bila kujali rangi, kabila, itikadi nk.
Kuna baadhi ya watu wanaishangilia CCM lakini ndani ya roho zao ukweli unawasuta kwani wanaelewa vyema kwamba CCM ni adui mkubwa wa maendeleo hapa Tanzania. Na kuna wengine wanashangilia CCM tokana na umasikini na njaa kuwazidi, hawana njia yoyote ya kujipatia chakula cha siku moja. Wakishangilia CCM wanapewa pesa chache (5,000/= ama 10,000?=), kanga, fulana, kofia na bendera. Hawa ni wajinga wa kutupwa kwani wanashindwa kuelewa kwamba ni bora kujifunza kuvua samaki kuliko kupewa samaki kwa siku moja.

NCHI MOJA, NIA MOJA NA CHAMA KIMOJA = CHADEMA
 
kuongeza mishahara kimyakimya
kusogeza mbele ufunguzi wa vyuo
kununua makada wa vyama vya upinzani
kupandikiza wagombea kwenye vyama vya upinzani
 
CCM na makuwadi wao wanasheherekea ushindi kwa

1. Kufanya hujuma
2. Kuvunja sheria
3. Kuiba kura
4. Kutoa rushwa

Kama ni ushindi wa kujivunia, wakajivunie Jahanam, kwake Iblis, si Peponi, kwake Allah!

Innalillahi Wa Innalillahi Raaj'un!

Sikutegemea ufisadi huu kufanywa na mtu ambaye ni MUISLAM!

Ulikuwa unadhani waislamu hawatendi maovu? Learn from Osama bin Laden, the man who kills in the name of Islam! Quran yao imewaruhusu kuua (Soma Qur'an 9:111 = 9/11?). Mwasisi wao, Muhamad, alikuwa fisadi namba moja! Alipora mali za watu wasio na hatia na kujitajirisha yeye na lundo la wake zake!
 
Back
Top Bottom