Kwa data hizi kikwete lazima ashinde kwa kishindo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa data hizi kikwete lazima ashinde kwa kishindo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lukolo, Aug 27, 2010.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sasa 4 ya 29 hadi 33 unaweza kufanyia nini? Unajua pass rates kwa level ya div one had div three ni kiasi gani? Na unajua kwamba hizo shule za mavuvuzela alizojenga Kikwete kwa kutumia mipango na mikakati ya Mkapa ya kupunguza umaskini by 2025, wanasoma watoto wa masikini tu?

  Natamani Mkapa angeongezewa muda wa kuongoza nchi kwa kuwa alikuwa ana vision ya wapi nchi inakwenda. Naamini angekuwepo yeye hali ya shule isingekuwa hovyo kiasi hiki. Mwenzenu Mkapa aliendesha MMEM kwa mafanikio ya ajabu bila kuathiri ubora wa elimu. Nyie mmeshindwa hata kujenga darasa, mkaachia wananchi wachangie kila kitu, halafu mnakaa mbele za watu kujigamba. Hamjui tu huwa mnanikera kiasi gani. Nashukuru kwamba tunafanya mijadala hii kwenye mtandao naamini tungekuwa tunakutana ana kwa ana lazima zingerushwa ngumi. Nakasirika sana kuona watu ambao kwa maslahi yao binafsi wanajifanya hawaoni hali ya nchi ilivyo.

  Bwana Dubo kazana sana kula hiyo rushwa na kuwakandamiza masikini kama unavyofanya. Mwisho wa yote ni kaburi. Hakuna atakayeishi juu ya nchi milele. Kwa hiyo haisaidii kujilimbikizia mali na kuwaumiza wengine kwa maslahi yako binafsi. Ni bora zaidi kusimamia haki ya kila mmoja huku ukitambua kwamba kuwepo kwetu duniani ni kwa neema tu.
   
 2. Nostradamus

  Nostradamus JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What's happening?We are having a lot of replies which are so incomplete for further arguments.Mfano,if the failures where 65,000 ( a record since independence as the member said,tell us what percentage is that,and also what major factors led to such results!Are we becoming so dumb to believe that if our children fail there exams it's a 100% governemnt responsibility?Is there any party/government out there that's claiming to hold a 100% of the futures of the children of this country??Let's not be biased.Passing exams or excelling in life is a no and will never be a sole government issue9and if there's any party out there saying if it comes to power no child will fail exams then we better look twice at their faces).The government has tried with all it could and it's only in the ballot box when the voters of this country will speak cleary that "YES,WE STILL NEED YOU AND WE'LL BE WITH YOU ON THAT WAY."
   
Loading...