Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama...
WAPIGA KURA ZAIDI YA MILIONI MOJA NA NUSU WAMEGUNDULIKA KUWA NA KASORO KWA HIYO HAWATAPIGA KURA,TUIULIZE HII NEC YA CCM,HAO WAPIGA KURA WENYE KASORO NI WA MAJIMBO GANI?ISIJE IKAWA JANJA YA NEC...
Dk Slaa: Ni gharama kubwa kuiacha CCM iongoze nchi Send to a friend Tuesday, 24 August 2010 22:55 0diggsdigg
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wilbroad Slaa
Elias Msuya
MGOMBEA urais kwa...
Kuna hypothesis ambayo mwandishi Jenerali Ulimwengu ameiweka kwenye gazeti la The East African toleo la wiki hii, kuwa nchi ndio inauzwa, hela yako tu.Ukiwa na hela ya kutosha unapata udiwani...
Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema...
Na Mwandishi Wa Risasi
Wakati Katibu wa NEC ya CCM, Uchumi na Fedha, Amos Gabriel Makalla akitarajiwa kuzindua kampeni zake kwa kishindo Agosti 29, 2010 (Jumapili ijayo), Mzumbe, Mvomero, mke...
Hivi CHADEMA wamejiandaaje kuhusiana na kutengeneza matangazo mafupi mafupi ya kampeni ambayo yatarushwa na vituo vya televisheni na redio?
Ningependa kujua kama kuna wanaojua.
Jenerali Ulimwengu Angurumaa nakusema:Sasa ni wakati wa Kasi zaidi,Hiyo kasi ya kwenda wapi Wakati tayari tumepoteza Mwelekeo
Jenerali Ulimwengu
Nimekuta ndio mazungumzo ya Jenerali Ulimwengu...
Oktoba ndiyo hiyo ina karibia na baada ya takribani miezi miwili Tanzania ina piga kura. Tofauti ni kwamba huu siyo uchaguzi wa kawaida. Hapana! Tuna chama kimoja chenye nguvu zinazo pungua lakini...
KWENYE GAZETI LA TZ DAIMA LA LEO UKURASA WA MBELE KUNA PICHA YA GARI LA WAGONJWA LA HOSPITALI YA BUGANDO LINALODAIWA KUSINDIKIZA MSAFARA WA KAMPENI ZA JK,JAMANI THIS IS TOO MUCH,HAWA CCM...
Hili ni swali GUMU zaidi kupata kuulizwa katika historia ya Tanzania.
SWALI: Taja mambo matatu(3) tu ya maendeleo ambayo Serikali ya JK imeweza kufanya tangu iingie madarakani miaka mitano...
Wajamane.
kundi la waandishi wapatao 9 walipo kwenye msafara wa JK katika mikoa ya Kanda ya ziwa hali zao ni mbaya kifedha
Bw Muhingo Rweyemamu aliye na fungu la kuwapatia waandishi hao...
Revealed: Greedy leaders steal millions in fertiliser subsidy
By Gerald Kitabu
22nd August 2010
When Situmai Ramadhani Rajabu (36), a resident of Kirando Ward in Nkansi...
Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini.
Hii ni habari ya kusikitisha na ninawapa pole...
Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Musoma Vijijini, Michael Makenji, anashikiwa na Takukuru kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Euro...
Kuna mtandao umeanzishwa unaitwa Friends of Dr Slaa unao jumuisha wafanya biashara wakubwa nk,
kila mtu anajua jinsi wafanyabiashara wakubwa wanavyo ihujumu nchi hii sababu tu waliisaidia CCM...
Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa...
'Bima gari ya Chenge ilikuwa ya mtu mwingine'
Na Hidaya Kivatwa
OFISA wa Kampuni moja ya Bima ya jijini Dar es Salaam, ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kuwa stakabdhi ya bima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.