Angalizo kwa Chadema, FOD | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalizo kwa Chadema, FOD

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul S.S, Aug 25, 2010.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kuna mtandao umeanzishwa unaitwa Friends of Dr Slaa unao jumuisha wafanya biashara wakubwa nk,
  kila mtu anajua jinsi wafanyabiashara wakubwa wanavyo ihujumu nchi hii sababu tu waliisaidia CCM katika kampeni zake
  kila mtu anajua wafanyabiashara ni watu wa kutafuta faida daima, mfanyabiashara hapeleki hela yake sehemu ambayo haina faida kwake,
  nina wasiwasi sana na hii kitu kama kweli hawa watu wakimfanikisha Rais mtarajiwa Dr Slaa kuingia ikulu hawata taka fadhila ambayo ndio inayo liangamiza taifa hili?
  siipingi FOD na nataka DR Slaa achukue nchi, lakini hawa wafanyabiashara sina imani nao kabisa
   
 2. M

  Mayu JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Chadema si kama CCM, Chadema ni chama cha watu makini, pia FOD haina wafanyabiashara tu wapo pia wasomi na watu wengine.
  ondoa hofu hawa wanamapenzi ya kweli na nchi yao ndio maana wamenamsaidia Dr Slaa ili aongoze kwa haki na biashara zao zitaenda kwa haki
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tuwekee link ya mtandao huo nasi tuone kabla ya kuchangia zaidi thread yako
   
 4. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Usiume na kupuliza. Wewe tunakujua ni CCM damudamu. Acha unafiki. Una ushahidi gani kwa yale unayosema.Tupe data kama unachokisema unakijua. Tutajie majina yao na utoe evidence.
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kwenye FOD hataingia RA wala washikaji zake zaidi ni mtandao wa wataalamu na wana taaluma kupanga mikakati ya kampeni na kuibua changamoto kwa wapiga kura kupiga kura kwa mtu sahihi, ni gharama kubwa kumrudisha JK madarakani.
   
 6. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tatizo sio wafanyabiashara wakubwa, tatizo ni attitude yetu watanzania ya kuwa spectators. kwanini na sisi wanyonge tusijiunge na kutoa tulicho nacho na kuwabeat ni number. Sasa tukibaki kulalama haitusaidii kitu. Manpower ya kukagua fomu ikikosekana tunalalmika, ilihali hatutoi chochote kurectify the situation. Wakijitokeza watu kutak action tunawakatisha tamaa. Watanzania tokoje? Ndio maana CCM wakaamua kutufisadi maana hatuna jambo jema.

  Ningefurahi kama watu wangekuwa wanasema vitu walivyofanya kuipa kasi hii crusade badala ya kungoja wengine wafanye halafu wao wakosoe tuu!!!!! Tuwaache FOD yao ata least they are doing something.
   
 7. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Your signature: "too much clevernes takes away intelligence" says it all.
   
Loading...