Kasi Zaidi - Kazi ya Kwenda wapi Wakati tumepoteza Mwelekeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasi Zaidi - Kazi ya Kwenda wapi Wakati tumepoteza Mwelekeo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bill, Aug 24, 2010.

 1. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,735
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 280
  Jenerali Ulimwengu Angurumaa nakusema:Sasa ni wakati wa Kasi zaidi,Hiyo kasi ya kwenda wapi Wakati tayari tumepoteza Mwelekeo

  Jenerali Ulimwengu
  Nimekuta ndio mazungumzo ya Jenerali Ulimwengu kwenye Sibuka FM kipindi cha crossfire ndio yanaishia,kwa hakika Jenerali Ulimwengu kweli ni Jenerali,katika mazungumzo yake kaelezea mengi kati ya hayo ni kuwa watu wanadai eti sasa ni wakati wa Kasi zaidi,Jenerali anauliza hiyo kasi ya kwenda wapi wakati tayari tumepoteza mwelekeo si ingekuwa bora tusimame kwanza tujiulize tunakoenda,pia kuhusu kuhamahama kwenye vyama vya siasa amesema yote hayo yanatokana na vyama kutokuwa na itikadi zaidi ya watu kuangalia mambo ya mshiko ,akazidi kusema afadhali hata klabu za Simba na Yanga ambazo wanachama wao ni waumini wa timu zao kiasi kwamba hakuna mwanachama kutoka kilabu hizo ambaye anaweza kuhama kutoka kilabu kimoja kwenda kingine,loh leo hakika Jenerali katoa darasa murua,nasubiri sehemu ya pili.

  Source: Haki Ngowi
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona Ulimwengu kaamua kabisa... kipindi hiki Mkapa hayupo so sijui nani atamfutia uraia tena?!
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,150
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi. Ya kwenda wapi? Acha mzaha ina maana hadi sasa huelewi hao mafisadi watupeleka wapi? Rejea hotuba mbalimbali za dereva 'wao'. 'tumeshughulikia rushwa kubwa na ndogo....wapi? Nina majina ya mafisadi.... sihitaji kura 3000 za watetea haki zao.... Ni uwongo sijasema hivyo..... hata kura moja inahitajika..... Upo hapo? Ni safari ya kwenda kuzimu wazima wazima. Ni kifo.....:confused2:
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,735
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 280
  Ikiwa ndio hiyo kasi, ni bora tushike break tutafakari tunapoelekea, anyway wadanganyika????????
   
 5. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kasi ya kwenda tusikokujua!
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,118
  Trophy Points: 280
  ARI MPYA(ZAIDI).NGUVU MPYA(ZAIDI),KASI MPYA(ZAIDI)

  U kichukua hizo herufi za mwanzo tu....ANGUKA....wataanguka tu
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Aisee! kweli watu ni wachambuzi.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,488
  Likes Received: 3,360
  Trophy Points: 280
  Ni wananchi tutakao anguka au mafisadi ndio watakaoanguka?
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,114
  Likes Received: 1,360
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ni wananchi lakini kama tukichagua hiyo kasi mpya safari tuchague mbadala
   
 10. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,280
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kasi zaidi kutokoea gizani wandugu! Hamkuona kasi mpya ilivyokuwa na ulaji mithili ya mchwa? Je, ikiwa zaidi...si ndio basi!
   
 11. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 4,791
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  hawatatudanganya daima
   
 12. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Tunaenda tusiko jua maana washibikia wa CCM hawajui wanachokitaka.
   
Loading...