Elections 2010 Mahojiano ya Zitto Kabwe na Daily News

Mheshimiwa zitto nimejaribu kumsikiliza lakini mbona hajanivutia uongeaji wake?

au lugha ya kigeni inanipiga chenga? :confused2:
 
Lol...people "asking for money to eat"....

Do people eat money?

Halafu eeeh eeeh eeeeh nyiiiingi....

Yawning.......
 
Lol...people "asking for money to eat"....

Do people eat money?

Halafu eeeh eeeh eeeeh nyiiiingi....

Yawning.......
Una bore kukosoa kila kitu. Hiyo ni spoken language ambayo mara nyingi unaitazama kwa kuangalia sentence nzima ni sio phrase moja moja.

Hongera Zitto kwa interview nzuri na mafanikio mema jimboni kwako.
 
I am entitled to my own opinions as you are to yours.
 
Mheshimiwa zitto nimejaribu kumsikiliza lakini mbona hajanivutia uongeaji wake?

au lugha ya kigeni inanipiga chenga? :confused2:

Huyo alishanunuliwa siku nyingi mno!! Poleni Chadema, msimtegemee huyu, atawapoteza na ameshawapoteza. Njaa kubwa sana haina uzalendo!!

29 is young, not very young. Hivi tunajua maana ya neno very? 29 watu wana watoto tayari, wewe unasema very young ? Nyerere kachukua uongozi wa chama akiwa na miaka hiyo hiyo.

2:30

"First of all I dont believe that we should elect our leaders on age reasons, my point is the parliament must represent the generations, the country, and in Tanzania more than 70% of Tanzanians are below the age of 29, and currently there is no single MP who is below 29..."

I will ignore the linguistics issues and redundant diction (so much for an economist) not because they are unimportant but because there is a larger isue with the contradictory nature of the above statement.

How can you say we should not elect our leaders "on reasons of age" and then go on to stress the importance of the parliament being representative of the generations of Tanzanians?

If you are saying we should not vote by age, then we should not care if the parliament is full of octogenarians at the end of their lives or Young Turks in their twenties.

If you are saying that the parliament should be representative of the generations, then you are clearly saying people should not vote too many old people in the parliament, and they should vote based on age.

What is this doubletalk about? Can't Zitto make up his mind about this simple issue ? Or is it the case that he cannot express himself clearly ?
 
hakupewa maswali mwanzo akajua ataulizwa nini akajitayarisha?
 
hakupewa maswali mwanzo akajua ataulizwa nini akajitayarisha?

Hata kama alipewa hawezi kukariri kila jibu katika Kiingereza safi. Lakini kajitahidi. Kuna wakati nilimsikiaga Ayoub Kimbau akiongea Kiingereza...ebana eeeh hadi nikawa namwonea huruma.

Kwa hiyo Zitto ni mara nyingi zaidi bora kuliko Watanzania wengi.

Na haijalishi sana. kiingereza si lugha yetu. Ila kwa ujumla Watanzania lugha hatujui kwa sababu hata Kiswahili chenyewe kinatupiga chenga wengi sana.
 
I am not so irked by the English as by the logical/ content issues. Kwenye English hata accents zetu tu ni issue mtu anaweza kusema kitu kimoja ukasikia kingine.

Lakini utasemaje huamini kwamba watu wapige kura kwa kuangalia umri wa mgombea, halafu hapo hapo ukasema bunge letu linatakiwa kuwa na vijana zaidi ? The one contradicts the other.

Kama age si issue kwa nini unataka vijana zaidi? Kama unataka vijana zaidi kwa nini age si issue?
 
Hata kama alipewa hawezi kukariri kila jibu katika Kiingereza safi. Lakini kajitahidi. Kuna wakati nilimsikiaga Ayoub Kimbau akiongea Kiingereza...ebana eeeh hadi nikawa namwonea huruma.

Kwa hiyo Zitto ni mara nyingi zaidi bora kuliko Watanzania wengi.

Na haijalishi sana. kiingereza si lugha yetu. Ila kwa ujumla Watanzania lugha hatujui kwa sababu hata Kiswahili chenyewe kinatupiga chenga wengi sana.

mie sijajali matumizi ya lugha. ..................nimejali zaidi kuwa imekosa mvuto, haikupi shauku ya kutaka kumsikiliza.

na ningependa ajitayarishe sio kwa kukariri, ila kwa kupanga points, sio hapo hapo anasema wasipigiwe kura kwa umri, mara wapigiwe.

angepanga points zake vizuri ujumbe ungefika bila ya mikwaruzo nafikiri.
 
Huyo alishanunuliwa siku nyingi mno!! Poleni Chadema, msimtegemee huyu, atawapoteza na ameshawapoteza. Njaa kubwa sana haina uzalendo!!

Njaa haina KOMANDOO??? au ulitaka kusemanini sijakusikia vizuri mkuu ongeza sauti...
 
mie sijajali matumizi ya lugha. ..................nimejali zaidi kuwa imekosa mvuto, haikupi shauku ya kutaka kumsikiliza.

na ningependa ajitayarishe sio kwa kukariri, ila kwa kupanga points, sio hapo hapo anasema wasipigiwe kura kwa umri, mara wapigiwe.

angepanga points zake vizuri ujumbe ungefika bila ya mikwaruzo nafikiri.

Kweli, anavyoongea anaboa. Nimepiga miayo tu na hata sikumaliza hizo dakika zote 15. Kwa hiyo hayo mengine wala sikuyasikia...

Lakini hivyo ndivyo alivyo. Hawezi kubadili anavyoongea.

He just doesn't have the talent for verbal fluency.....
 
:welcome:nashangaa wabongo interview za nje waingereza wenyewe na lugha yao huwa hawaizungumzi kwa ufasaha sisi tumekalia majungu tutakufa na majungu
 
:welcome:nashangaa wabongo interview za nje waingereza wenyewe na lugha yao huwa hawaizungumzi kwa ufasaha sisi tumekalia majungu tutakufa na majungu

Mimi sijamshikia bango kwa kiingereza, nimeongelea logical consistency hapo juu.Una la kusema kuhusu hilo ?
 
Umei delete post uliyomshikia bango kwa kiingereza....lol

Nilishtukia kwamba siwezi kuwa conclusive kutokana na accent issues, plus the audio is not very clear.

As long as kaamua kuongea Kiingereza, au kwenda kwenye gazeti la Kiingereza, Kiingereza kinakuwa issue. Na anayesema Uingereza Kiingereza si issue anatuonyesha jinsi alivyo lowbrow tu.

Waingereza ni kati ya watu snobs kabisa duniani, wao issue si tu kwamba unajua au hujui Kiingereza, ila hata lafudhi yako inaweza kuwa issue.
 
Back
Top Bottom