Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa kuwa kiungwana aliwaahidi watz kuwa watakuwa makini na afya ya Rais baada ya tukio la Mwanza na kwa kuwa hawajakuwa waangalifu ajitoe. Huyo mpambe naye out. Rais alishaonyesha dalili zooote za kuanguka yeye kasimama tu kama mshumaa, naye out.
Hebu itazame na wewe kama alivyokuwa nayo Mwanakijiji.............
Kuanguka kwa Rais Kikwete Jangwani? Kwanini asijiengue?
Hebu itazame na wewe kama alivyokuwa nayo Mwanakijiji.............
Kuanguka kwa Rais Kikwete Jangwani? Kwanini asijiengue?