Waandishi kwenye msafara wa JK walia njaa,Muhingo awanyima fedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi kwenye msafara wa JK walia njaa,Muhingo awanyima fedha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Aug 25, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Wajamane.

  kundi la waandishi wapatao 9 walipo kwenye msafara wa JK katika mikoa ya Kanda ya ziwa hali zao ni mbaya kifedha

  Bw Muhingo Rweyemamu aliye na fungu la kuwapatia waandishi hao hajawapatia hii ni siku ya tatu,

  Ombi kama kuna mmoja ndugu yasko yuko humo tafadhari jaribu kumtumia fedha kidogo hata kwa MPesa,ZAP nk

  Leo baadhi watalala Karagwe na wegine Ngara

  Saidia waandishi hao,msiwaone kuvaa mavazi ya Nembo ya JK 2010 ikiwemo not book,pen,vitambulisho ,vest nk mfukono weupe WASAIDIE JAMANI,

  Nimeombwa na mmoja wao nifikishe hii message
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,104
  Trophy Points: 280
  Kwani ni waandishi wa vyombo gani na wamepelekwa na nani, kwani ni waajiriwa wa CCM hadi wamlilie Muhingo, Muhigo anawapa kama hisani tu wasichukulie kama ndiyo ada. Haya ndiyo mambo tusyoyataka ya kupokea mishahara na posho mbilimbili kama wabunge.
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama Michuzi ana shida ya hizo hela.

  Kwanza si wanapelekwa na Mwajiri wao? Sasa CCM inaanzaje hapa kutoa hela?

  Nakubaliana na wanasema kuwa WAANDISHI WANAPOKEA POSHO MBILIMBILI.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Nadhani kisha ziweka ndani pesa. Si unajua pale habari Corporation hawapati mishahara -- pamoja na yeye? Mnataka afanyeje!
   
Loading...