Hivi ni kwa nini wanawake hawapendani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kwa nini wanawake hawapendani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Hero, Aug 25, 2010.

 1. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema, hivi hii ni kwa nini? What is not right?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mbona binadamu hatupendani? Rejea genocide ya Rwanda, Darfur, Liberia, Sierra Leone, Chechnya, etc.
   
 3. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Those are sporadic events is you compare to this one!
   
 4. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  genocide are sporadic events, you cant compare to this one!
   
 5. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tunaomba udhibitisho wakuonyesha wanawake hawapendani. Mimi ninavyojua karibia wanadamu wote hawapendani hasa wanapoingiliana kwenye maswala nyeti interest
   
 6. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeniwahi ndugu.....
  mix with yours
   
Loading...