Elections 2010 Swali la karne

Martinez

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
525
160
Hili ni swali GUMU zaidi kupata kuulizwa katika historia ya Tanzania.
SWALI: Taja mambo matatu(3) tu ya maendeleo ambayo Serikali ya JK imeweza kufanya tangu iingie madarakani miaka mitano iliyopita. :eyebrows:
 
Nimejaribu kufikiria na kutafiti na hatimaye nimegundua jibu ni HAKUNA, ...sijui lakini
 
Hili ni swali GUMU zaidi kupata kuulizwa katika historia ya Tanzania.
SWALI: Taja mambo matatu(3) tu ya maendeleo ambayo Serikali ya JK imeweza kufanya tangu iingie madarakani miaka mitano iliyopita. :eyebrows:
 
Hii mbona simpo? 1. Mfumko wa bei na kuzidi kushuka thamani kwa shillingi ya Bongo, 2. Kufichuka siri na kashfa nyingi za ufisadi ambazo hazikushughulikiwa zaidi ya kutangazwa tu kwenye vyombo na vyanzo ya habari. 3. Kuhutubia kwa muda mrefu na sera nzuri sana zisizotekelezeka kama KILIMO KWANZA!
 
Tanzania kwa maoni yangu haijafikia hatua ya kutengeneza miradi mikubwa ambayo tunaweza kuinasibu ni mapinduzi ya kimaendeleo. Tunaogelea bado katika duara la huduma za kijamii tunazoziita maendeleo. Kweli swali ni gumu, hivyo wakuu tusaidiane.
 
Muulizaji anajua kuwa hakuna alichofanya JK ndio maana anajua swali litakuwa gumu. Unajua kikwete hakutakiwa kuahidi katika kampeni zake, bali alitakiwa kuelezea alichofanya. Ila hana cha kuelezea kwa kuwa hakuna alichofanya, ...labda michezo
 
Mambo matatu aliyofanya Kikwete:

1. Kuuza migodi ya madini kwa bei ya karanga (buzwagi etc)
2. Kushirikia na marafiki zake (rostam na Lowasa) kuwaibia watanzania kwa kupitia mradi hewa richmond
3. Kufuta surplus yote aliyoikuta kwenye account ya nje ya Tanzania kwa matumizi holela

niendelee?
 
1.Kaongea na obama
2.Kaoa mke mwingine
3.Kaomba wezi warudishe sehemu ya waliyoiba
 
Miradi mingi aliyoizindua JK ilikuwa ni kazi kubwa aliyoifanya Ben hivyo katika kipindi chake hakuna alichokifanya.
 
  1. Kaifanya Tanzania kuwa nchi inayoongoza kwa kuomba misaada
  2. Katembelea duniani kuliko watangulizi wake wote
  3. Kaenda kubembea Jamaica
 
kuanguka anguka kila mara kwa afya mbovu alinayo.
kwenda jamaica kujionea mjani wa ukweli live.
sifa za macho makavu zisizokuwa kweli.
 
Back
Top Bottom