Madudu mengine ya jk haya hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madudu mengine ya jk haya hapa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Aug 25, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KWENYE GAZETI LA TZ DAIMA LA LEO UKURASA WA MBELE KUNA PICHA YA GARI LA WAGONJWA LA HOSPITALI YA BUGANDO LINALODAIWA KUSINDIKIZA MSAFARA WA KAMPENI ZA JK,JAMANI THIS IS TOO MUCH,HAWA CCM WAMEINGIZA MAGARI YA KAMPENI TENA KWA KUKWEPA KODI NA KUYASAMBAZA NCHI NZIMA,WAMEONA HILO HALITOSHI WANAAMUA HATA KULICHUKUA TENA HILO GARI LA WALALA HOI NALO WANALIJUMUISHA KWENYE KAMPENI ZAO WAKIACHA HAO MASIKINI WAFE KWA KUKOSA GARI LA WAGONJWA LILILOPO KWENYE KAMPENI ZAO,PLZ CCM,RUDISHENI HILO GARI NA HIYO TABIA IKOME NA KUWENI NA UTU BASI KWA HAWA MASIKINI WA KITANZANIA:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  hivi wewe urasaaaaa...yani unataka rais akianguka apepewe na magazeti?...au unataka kujifanya hujui kuwa RAIS ANAUMWA ..soo uwepo wa gari la wagonjwa kwenye msafara wake ni SAHIHI KABISA kwani naye kama rais ni MGONJWA ..TIA-MAJI, TIA-MAJI... acha kabisa mambo yako ya kulalamika...RAIS NI MGONJWA NA ALIANGUKA NA DAKTARI WAKE ANAJUWA KUWA BOSS WAKE NI MGONJWA NDIO MAANA WAMEAMUA KUTEMBEA NA PARAMEDIC UNIT HAPOHAPO KWENYE KAMPENI
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Magari haya yalitakiwa yawepo from day one kwenye kampeni zinazohusisha mikusanyiko ya watu wengi, sio kwa sababu ya wakulu tu, bali kwa sababu ukikusanya watu wengi uwezekano wa watu kuzimia na kupata matatizo mengine ya kiafya ni mkubwa.

  Ina maana siku zote campaign rallies zilikuwa hazina ambulances? Mpaka rais aanguke ?

  Swala la kulipia ni complex, kwa maana ingawa hii ni campaign ya CCM, kuna Watanzania kibao ambao hawana chama wako pale.

  Huwezi kutaka CCM au CHADEMA wawalipe mishahara polisi wanaohakikisha usalama wakati wa kampeni hizi pia.
   
 4. Bally B

  Bally B Senior Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 11, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Na bado hadi aje adondoke ****** ndo atajua afya yake ni mgogolo saizi anatakiwa akatulie na madem zake coz alizochuna zinamtosha kabisaaa,,Kiukweli me sataki hata kusikia hilo Jina sijui JK kinyefunyefuuuuuuuuu jamani
   
 5. u

  urasa JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I wish watu wa namtumbo,kazuramimba,namanyere na vijiji vingine vingepata hiyo hudama ya gari la wagonjwa kuliko hii mijizi ccm
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  I am sorry to say this, I know it sounds terribly sadistic, but there is no reason to assume that JK is not going to fall at least once every year. He probably has been doing something like that, or worse, for the last 15 years.

  And there is every indication that the condition is going to get worse. It is just the law of entropy as exhibited by thermodynamics, unattended closed systems tend to move from order to disorder.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  repetitive
   
 8. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kana suala ni kuwa paramedic unit ni kwa nini hawakukodi watu maaum wa huduma ya kwanzakutoka KNIGHT SUPPORT badala ya kuiba huduma ya wapiga kura?
   
 9. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  [​IMG]
  Umenikumbusha mbaaali kwa mtu mmoja anayeitwa Fo..... when T increases then S ......

  What is the position our presida in relation to the equation, assuming the reaction to be reversible

  [​IMG]
  Similarly, the total amount of "order" in the system is given by:
  [​IMG]
  In which CD is the "disorder" capacity of the system, which is the entropy of the parts contained in the permitted ensemble, CI is the "information" capacity of the system, an expression similar to Shannon's channel capacity, and CO is the "order" capacity of the system
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  No repetition, you can have attended closed systems and unattended closed systems.

  And I can see where you are going, attending these systems does not open these systems, thanks to quantum weirdness.
   
 11. T

  Taso JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  reference
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
 13. T

  Taso JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  What would you want next, spoonfeeding ? I can do better than quote, I can explain it to you. The entire idea behind Quantum Entanglement entails two closed systems interacting in a non-classical, faster than the speed of light -even instantaneous- way.

  Wewe niambie kwa nini huwezi kuwa na attended closed systems?
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Aug 25, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Taso is sick.
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  And I am the cure for sure.
   
Loading...