Uhuni wa NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuni wa NEC

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Aug 24, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WAPIGA KURA ZAIDI YA MILIONI MOJA NA NUSU WAMEGUNDULIKA KUWA NA KASORO KWA HIYO HAWATAPIGA KURA,TUIULIZE HII NEC YA CCM,HAO WAPIGA KURA WENYE KASORO NI WA MAJIMBO GANI?ISIJE IKAWA JANJA YA NEC KUANDAA KURA KWA CCM,NA PENGINE WAKATOKA MAENEO AMBAYO CCM NI NGUMU KUPATA USHINDI:eek2:
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa NEC au sijui ndio hii tume ya Uchaguzi ya Taifa na matawi yote ni wabaya sana sana .

  Kama utafatilia utaona kumejitokeza uwekaji pingamizi na uwekaji huu unatumika katika kuisafishia njia CCM kwa pale ambapo wana wasiwasi wa ushindi ,hivyo huwaengua wapinzani kwa kutumia pingamizi, mtindo uliotumika safari hii ni kuihakikishia CCM inapata ushindi wa chee mapema ,usitegemee kuwa mgombea wa CCM ataondolewa kwa kutumia pingamizi ,hata pingamizi hilo liwe na uwazi kiasi gani,si tumeona wameweza kuwalinda mafisadi watashindwa kwa wagombea ?? Ila wapinzani hata kama pingamizi halina kichwa wala miguu litatumika kikamilifu ili kumuondoa au kuwaondoa wapinzani ,NEC (Tume ya uchaguzi) inatumika kuinyanyua ccm. Ni uhuni tu .
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kumbe na wewe wakati mwingine unazungumza point zenye mantiki siyo enhh! Au Kafu pia imeguswa nini?
   
Loading...