Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimejaribu kufuatilia na kubaini asilimia kubwa ya kila analoagiza Dr. Slaa linatekelezwa na rais, hii inamaanisha nini kuwa Slaa anaona mbele zaidi ya Kikwete? Nikianza na suala la kupelekwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Zijue ahadi za wagombea nafasi ya Urais Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete, anaongoza kwa ahadi hizo baada ya kutoa ahadi kubwa zaidi 25 akifuatiwa na mgombea wa Chadema Dk Willbroad Slaa ambaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi naomba kufahamishwa garama ya kurusha makala kwa muda wa saa moja kwenye luninga kama ITV au Star TV leave away TBC maana huwezi watenganisha wao na CCM kuna makala moja ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mwananchi imefanya kazi iliyonifurahisha. Imeweza kuorodhesha ahadi zilizokwishatolea na wagombea kiti cha uraisi. Kwenye ulingo ni JK akiwa na ahadi 22, akifuatiwa na Slaa 8 na Lipumba 7. Soma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sokomoko sasa yazuka CCM Mwanza Mwandishi Wetu Septemba 8, 2010 Kurejeshwa mgombea wa CHADEMA kwanza kutafuna UAMUZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumrejesha kwenye kinyang’anyiro...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mgombea udiwani Kata ya Kirumba, jijini Mwanza, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Novatus Manoko, amenusurika kufa baada ya kuvamiwa na kukatwa mapanga na watu wasiojulikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo wana JF Kinana kathubutu kusema Kikwete sio SIZE ya Slaa, nimekubali kwa sababu Kikwete ni "Dakta ??" na Slaa ni "Doctor PhD" ni tofauti mno kiasi kwamba hawawezi kusizeshana!
0 Reactions
40 Replies
6K Views
huyo ni mgombea wa CHADEMA aliyechakachuliwa na CCM mh THOMAS NYIMBO AKILAKIWA NA WANANCHI
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Miaka mitano ya awali nilikuwa najifunza na kupata uzoefu wa urais, Naombeni mnipe nafasi tena ya miaka mitano 2010-5 tuweze sukuma gurudumu la maendeleo. Wenyewe mnaona foleni zimeongezeka hapa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Pichani ni mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha CHADEMA,Bw.Ally Khalfa Mleh Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akisisitiza jambo wakati...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
hapa ilikuwa ni katika kampeini ya chadema jimbo la bukoba mjini katika eneo linaitwa buyekera. Chadema wanakata mbuga...................
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MICHUZI Kuna usanii mwingine hauwapi wala kuwaongezea sifa au kuwapandisha chati CCM bali kunaendelea kukidhalilisha CCM na Rais JK. Hivi kweli sababu alizozitoa huyu mwenyekiti Ex CHADEMA...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM yapata pigo jingine Mwananchi, Saturday, 11 September 2010 09:35 Waandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo lingine baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuyatupa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
* Hamad Rashid apigwa butwaa Katika hali ya kushangaza, aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Londa, jana aliwagawa waumini wa dini ya Kiislamu, baada ya kupiga kampeni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Utawala wa Salmin Amour, Zanzibar iliwahi kuajiri majaji wa Kinaijeria.Najua pia kuwa Tanzania hupeleka majaji kufanya kazi visiwa vya Shelisheli kwa sababu, kutokana na udogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"...In his campaign trail at Duga village in Mkinga Constituency, Dr Kikwete expressed displeasure over failure to implement his directive of providing Horohoro border police station with a...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapo juu ni Handeni, na hapa chini ni Mrorogoro. Kwa nini pikipiki hizo zinafanana sana, na hata waendeshaji wanaelekea kuwa na tabia zinazofanana ?.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
What else could you say?Tovuti ya Raia Mwema-jarida tulilokuwa tukiliamini kwa taarifa zake fasaha- ina habari za toleo la wiki iliyopita.Kumbuka hilo ni jarida linalotoka once a week kwa hiyo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wazee angaliene Ni watu gani walikua wana contribute bungeni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mgombea wa urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa amesema; Uamuzi wa CCM kukataza wagombea wake kushiriki midahalo ya kisiasa ni aibu kwa mwelekeo wa demokrasia...
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…