Kinana Vs Prof. Mwesiga Baregu leo BBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinana Vs Prof. Mwesiga Baregu leo BBC

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sakoyo, Sep 11, 2010.

 1. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo wana JF Kinana kathubutu kusema Kikwete sio SIZE ya Slaa, nimekubali kwa sababu Kikwete ni "Dakta ??" na Slaa ni "Doctor PhD" ni tofauti mno kiasi kwamba hawawezi kusizeshana!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Msomali yule atatamka lolote kulinda maslahi yake binafsi ya kibiashara!

  Ameboa sana kwenye kile kipindi, maana anabisha hadi mambo ambayo ni obvious!....Inataka moyo sana kuwa mshabiki wa ccm, maana inabidi uwe na upunguani kiasi fulani!...huh!
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  taratibu na maneno yako manyaufu
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kinana Hana analojua zaidi ya kuropoka tu
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Sep 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa lini wakuu, naona nimepitwa na uhondo!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  HTML:
  
  
  [​IMG] Tani 1.5 ya pembe za ndovu toka TZ zakamatwa Hong Kong

  HONG KONG (AP) — Hong Kong customs officers have seized over one and a half tonnes of smuggled elephant ivory worth 10.9 million Hong Kong dollars (1.3 million US) shipped from Tanzania, they said Friday.


  The 384 ivory tusks -- weighing 1.55 tonnes -- were found Thursday inside two containers labelled as "dried anchovies" at the Tsing Yi container terminal, the Ports and Maritime Command said in a statement.


  Two men, aged 46 and 48, have been arrested as part of a continuing investigation, the statement said.


  The international trade in elephant ivory, with rare exceptions, has been outlawed since 1989 after elephant populations in Africa dropped from the millions in the mid-20th century to some 600,000 by the end of the 1980s.


  Anyone found guilty of importing unmanifested cargo into Hong Kong faces a fine up to two million dollars (260,000 US) and imprisonment for seven years.


  In addition, those guilty of importing, exporting or possessing an endangered species for commercial purposes face a fine of up to five million dollars (640,000 US) and two years in jail, the statement said.


  Kenya seized two tonnes of raw elephant ivory bound for Asian markets in August, saying it represented the country's largest recovery of elephant ivory in the recent past.
  At least 4,000 elephants are killed each year across Africa to supply the illegal ivory trade, according to the conservation group WWF.
  [​IMG]

  Nyara zilizokamatwa!

  My Take:
  Nilizungumza wakati ule TZ inalilia kuruhusu pembe hizi ziuzwe kihalali. Nilisema kwamba kwa vile wamekataliwa lazima itatatufwa namna tu lazima ziuzwe! Now here we are! Wameuza mbuga zetu, wameuza madini yetu, sasa na pembe zetu za ndogu wanauza kwanini wasizitekekeze kama wanavyofanya Bunduki? ​
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Leo asubuhi BBC!...UNAWEZA UKATEMBELEA website ukasikia live!
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaa meli ya kwangu lakini hizo pembe sio zangu...atakuja sasa hivi na maneno haya ngoja tu
   
 9. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #9
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio maneno machafu ila inabidi hawa jamaa tushindwe kuwaelewa, hivi Kinana anafikiri ukiwa kiongozi wa nchi unamajukumu ya kwa wanakijiji tu? Je kwa watu wengine waliopo nje ya nchi na ambao sio waTz hawapaswi kujua uwezo wa kiongozi ktk kupangua hoja?
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Aibu sana. Wenye uwezo wa kufanya hayo yote ni wana-CCM tu. Tena wapo serikalini.

  Lakini kama kawa CCM wanaweza simama kwenye mikutano yao ya kampeni na kusema: "Idara yetu ya Wanyamapori inafanya kazi kubwa na hivi karibuni tu ilifanikiwa kukamata nyara za serikali huko Hong Kong. Chagua CCM. Chagua kikwete. Na walalahoi watashangilia kama kawaida yao.
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
 12. MAWANI

  MAWANI Member

  #12
  Sep 11, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni sehemu tu ya Mazuri machache yaliyofanywa na serikali ya CCM kwa watanzania. Mnaonaje CCM, Kikwete tuwape kura tena kwa mazuri haya?
   
 13. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kinana anatumikia kibarua chake apate ujira wake
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jomba Susuviri,

  Hii link uliyoweka ni Kipindi cha jana IJUMAA, weka link ya leoleo,Jmosi 11/09, ndio ina ubabaishaji huo wa Msomali Kinana!.
   
 15. Avocado

  Avocado Member

  #15
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kinana ni fisadi aliye kubuhu,yuko tayari hata kutembea kwa miguu kuikampenia ccm ili tu waendele kumlindia uchafu wake,mtanzania wa kawaida ambaye umewahi kuwa mtumishi wa serikali unapata wapi pesa ya kununua meli kama si wizi huo ?
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Sep 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nimetafuta AMKA NA BBC ya Jumamosi sijaipata!
   
 17. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu watanzania wengi tumelala. Viongozi na wanasiasa wetu wanajua kuwa watanzania wengi bado wako usingizini. Wao si wajinga kuingia kwenye siasa.

  I can assure you tutaendelea hivyo hivyo. Si mara ya kwanza kwa vipusa kukamtwa ughaibuni, na wenye vipusa ivyo wanafahamika.

  Itakuwa kama EPA tu, wezi wanajulikana wanaendelea kuchaguliwa kuwa wabunge, mawaziri halafu wajinga tunaendelea kuliwa.

  Angalia sehemu unayokaa, halafu niambie baada ya miaka mitano itakuwaje. I am sure itadunika zaidi.
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kipindi cha Jmosi hakiko hewani (kwenye mtandao). Ila kwenye kipindi cha jana jioni (ambacho kipo hewani) kulikuwa na utangulizi wa hicho kipindi cha leo. Kinana alisikika amejaza upepo si kawaida!

  Ndyo maana mimi nazidi kuwashauri CCM waachane na interview kwenye broadcasting media kwani zinawavua nguo na kuwaacha uchi.
   
 19. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Nimeona CNN jana usiku shehena nyingine ya MENO YA TEMBO imekamatwa huko Hongkong inawezekana msomali kasha huwa tembo wengine!
   
 20. g

  geek Member

  #20
  Sep 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...