tendwa afundisha somo la uraia wa watoto wa msingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tendwa afundisha somo la uraia wa watoto wa msingi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ngambo Ngali, Sep 1, 2010.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Gazeti la majira toleo la leo ukurasa wa kwanza kuna picha ya Msajili wa Vyama vya Siasa Bwana John Tendwa akifundisha elimu ya uraia kwa wanafunzi wa darasa la Tano wa Shule ya Msingi ya Bunge.

  Kutokana na picha hiyo inasemekana mafunzo hayo yalizungumzia mfumo wa vyama vingi vya siasa na usajili wake wakati tukielekea katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 31, Mwaka huu.

  Jamani nisaidieni, was it necessary? Kwa nini elimu hiyo asitoe kwa watu wazima wenye uwezo wa kupiga kura badala yake afundishe chekechea ambao hawatapiga kura kwa umri hauwaruhusu kupiga kura?

  Je, huko sio kupoteza muda wa serikali, nadhani ingekuwa busara kama angeshughulikia vitu vya muhimu kama pingamizi la CHADEMA dhidi ya CCM

   
 2. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,802
  Likes Received: 2,748
  Trophy Points: 280
  Labda hana kazi nying leo huko ofisini kwakee. Pingamizi la CHADEMA linamtoa jasho!
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Pingamizi linamtoa jasho kwa nini? Mbona sheria iko wazi sana.
   
Loading...