Elections 2010 Tido ana kesi ya kujibu

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,555
9,329
Kwa aliyeangalia Taarifa ya habari ya jana ya TBC! ya saa mbili na saa nne usiku, basi moja kwa moja atakubaliana na mimi kuwa TIDO MHANDO, ana kesi ya kujibu, Tido ana kesi kesi ya kujibhu ambayo imefanana sana na ile ya Mramba, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA,

Matumizi mabaya ya Madaraka sio lazima kuiba pesa bali hata kuwanyima raia haki nzao wanazostahili, kitendo cha Tido kuamua kuwa Polisi, kuwa Tume ya Uchaguizi, kuwa mkurugenzi wa MAwasiliano na kuwa waziri wa habari kwa kweli ni kitendo cha kuvuka mipaka ya kazi yake, kwa maana hiyo Tido ana kesi ya kujibu

tatizo la msktaki mkuu (JK) wa hizi kesi yeye ndio anafaidika na haya anayoyafanya Tido
Viongozi wa dini ndio pekee wanaoweza kuliongelea hili na labda wakasikiwa, lakini kwa MUfti Mkuu sheikh Simba sidhani kama ataweza kuliomngelea hili, mara nyingi yuko kimya, Msemaji Mkubwa kwa haya mambo ni Krd PENGO, lakini na yeye atakapoliongea tu moja kwa moja litaingia kwenye Ukatoliki

Tido ana kesi ya kujibu,
hapa labda nguvu ya umma itumike kumwadabisha
ama TINDU na MArando wamfungulie kesi ya MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
 
Wengine Taarifa za Habari utukuta bado kwenye daladala - Ni kipi kilichojiri?
 
Kama mnataka kusikia views za watu wengine basi mueleze kilichojiri. Maana wengine hata TBC siku hizi tunaona upuuzi mtupu tunapata habari kwenye forum nikiwa home naangalia BBC, Aljeezera, na france news. sasa elezeni tujue
 
Kilichojiri please!
Ingawa kitendo cha kukatisha matangazo ya jangwani inatosha kumfungulia mashitaka bse alisema CHADEMA wanaendesha kampeni za matusi
 
Jana nimefika home saa nne usiku nikasema ngoja niweke TBC1 usiku wa habari nikakuta Uzinduzi wa kampeni BABATI nikashindwa kuelewa kuwa habari muhimi kwa siku ya jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni BABATI!!!!!
 
Kama mnataka kusikia views za watu wengine basi mueleze kilichojiri. Maana wengine hata TBC siku hizi tunaona upuuzi mtupu tunapata habari kwenye forum nikiwa home naangalia BBC, Aljeezera, na france news. sasa elezeni tujue

Hao BBC, Aljazeera na France news nao wanarusha matangazo ya kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania? au mkuu we unataka kusimuliwa uchaguzi wa nchi gani?
 
tido mhando ni darasa la saba aliyejikita kwenye utangazaji kwa muda mrefu LOWASAA ndiye aliyemleta kutoka BBC hasa baada ya kuwasaidia kimtandao so he is no body hakuna anachojua yule ni kibaraka tu anaiendesha TBC kwa matakwa ya mabwana zake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom