Dr Slaa naye ni CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa naye ni CCM?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by friendsofjeykey, Sep 1, 2010.

 1. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitazama chimbuko lake si alitoka huko huko kwenye CCM au chama cha wana Mapinduzi sasa what makes him tick ili leo tumchague?

  Isije ikawa yale yalee ya CCM kuwawekea CHADEMA trojan horse halafu likishabumbuluka tunajiuliza kulikoni?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tumeshakushtukizia.
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mtaje mpizani ambaye hajatokea huko yaani mnaongea kama mazuzu kweli freind of mkwere fisadi
   
 4. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mods hao wako kazini
   
 5. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Upupu friend of jeykey wewe always hauna jipya,afadhali jiburudishe na habari hii ujiliwaze na kujiuliza was happened na muelekeo wa nchi yetu TZ ya CCM!

  Afungwa jela miezi sita kwa kukaidi kuvua baraghashia mahakamani Mtanzania
  Tuesday, 31 August 2010 22:39
  Hadija Jumanne

  MSHAURI wa baraza la kata Gongo la Mboto, anayekabiliwa na kesi ya kutishia kuua na kusababisha fujo, Ally Sururu (60) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kukaidi amri ya hakimu aliyemtaka avue kofia aliyokuwa ameivaa kizimbani aina ya baraghashia.

  Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, WilbaForce Luhwago, mara baada ya mtuhumiwa huyo kumwambia hakimu huyo kuwa hana maadili kwa kumtaka yeye avue kofia.

  Mara baada ya Sururu kutoa kauli hiyo mbele ya mahakama, hakimu Luhwago alimtaka akampumzike kwa muda katika mahabusu ya mahakama hiyo ya Ilala.

  Lakini cha kushangaza, mtuhumiwa alikaidi amri hiyo huku akimweleza hakimu Luhwago kuwa baraghashia ni sawa na vazi lolote hivyo hawezi kuivua.

  Hakimu Luhwago alimwambia mshtakiwa huyo kuwa kwa sababu hiyo ni tabia yako ya kudharau mahakama ukiachiwa utaendelea na tabia hiyo, hivyo utatumikia kifungo cha miezi sita jela huku kesi yako inaendelea kusikilizwa.

  Sururu ambaye yupo nje kwa dhamana , kabla ya kuhukumiwa kifungo hicho cha miezi sita jela, jana hiyo alifika mahakamani hapo kwa ajili ya kuisikiliza kesi yake.

  Kabla ya kupewa hukumu hiyo Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Daniel Buma aliiomba mahakama hiyo kutoa adhabu kali dhidi ya mtuhumiwa kutokana na tabia aliyoionyesha ya kudharau mahakama na kudaia kuwa zikiachiwa tabia hizo mahakama hazitaheshimiwa"alidai Buma.
  Awali mtuhumiwa alifikishwa katika mahakama ya wilaya ya Ilala akikabiliwa na kesi ya kutishia kuuwa na kutoa lugha chafu ikiwemo usumbufua katika baraza la kata.

  Kwa mara ya kwanza kesi hiyo ilikuja katika mahakama hiyo Septemba 15, mwaka jana, na mtuhumiwa alitenda kosa hilo Agosti 27,mwaka 2008 katika eneo la Ukonga Mzambarauni.

  Ilidaiwa na mwendesha mashtaka kuwa mtuhumiwa alitoa maneno makali wakati wakiwa katika mashauriano katika baraza la kata na hivyo kusababaisha usumbufu na uvunjifu wa amani katika baraza hilo.

  Buma aliendelea kudai kuwa mtuhumiwa katika shtaka la pili anadaiwa kumtishia kumuua Mzee Shija .

  Ilidiwa siku hiyo majira ya saa 5 asubuhi mtuhumiwa alimtishia kwa maneno mzee Shija kwa kumwambia "Wewe Mzee Shija nitakushughulikia kisawasawa na kuwa ndio mwisho wako"alisema mtuhumiwa huyo katika baraza la kata na hivyo kusababisha hofu kwa mlalamikaji.

  Hata hivyo kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa kwa kuwa upelelezi ulikuwa bado haujakamilika.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni Malaria Sugu.
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  naona safari umekuja kivingine ila tumeshakustukia.......uchaguzi ukiisha sijui utabaki ama utaondoka au utabadili tena jina na kulirudisha lileliele la ms
   
 8. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hata Julius Nyerere angekuwa hai leo hii asingekuwa tena CCM!
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Zito Kabwe
   
 10. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alikuwa chama gani kabla ya mwaka 1992?
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hujui unachokiongea!! We nyamaza tu papaa. Watanzania siyo ******* tena. Wao wanasema 'Ushindi Unakuja'. Sisi tunasema 'Muda Unakuja'. You Can Stop Anything; YOU CAN'T STOP TIME.
   
Loading...