Friends of Slaa FOS mnatuangusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Friends of Slaa FOS mnatuangusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Sep 1, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nilitegemea blog ya Friends of Slaa FOS iwe source of informations, News and pictures kwenye mikutano ya Slaa lakini sioni updates zozote zikiwekwa tofauti na blog ya Michuzi inayoweka habari za kampeni ya Kikwete mara tu baada ya mkutano (mf. Kyela).

  Leo Dr. Slaa anafanya mikutano yake mjini Dodoma lakini sijaona hata picha moja kwenye blog ya FOS zaidi ya picha za ufunguzi wa kampeni Jangwani na post ya Mtei 'Majukumu Makuu ya Chadema' ambayo hata hivyo waliipata kutoka JF. Au tuseme mlikuwa hamjajiandaa.

  FOS wakati ndio huu kama mnasubiri wakati mwingine mtastukia mwana si wenu, wakeup.

  Friends of Slaa | FOS |

  MICHUZI
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,330
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Huenda hiyo blog ni ya wana CCM wanaohadaa wananchi
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,613
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Mimi nawaona ni mapandikizi tu kwani hata huyo mratibu Selemani Rehani ni shemeji yake Mizengo Pinda
   
Loading...