Fitna za kampeni:habari za chadema zabaniwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fitna za kampeni:habari za chadema zabaniwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Phillemon Mikael, Sep 1, 2010.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa vyombo vya habari..hasa baada ya tukio la jumamosi......kwa wale ambao wameangalia kwa makini mtagundua kuwa .....televisheni ya TBC ...hawazipi tena umuhimu habari za CHADEMA..especially mgombea urais...kwa siku karibu tatu naona kwenye taarifa za habari habari zinazoongoza ni za CCM...alafu CUF....na hata ikitokea CHADEMA imeongelewa basi si mgombea urais bali labda ni mgombea ubunge...mfano juzi na jana ....hakuna habari ya CHADEMA ..mgombea urais imetoka......naamini hili si kwa bahati mbaya bali ni mkakati maalum wa ku potray nafasi ya CHADEMA kiumuhimu kwenye siasa za Tanzania.....najuwa viongozi wa CHADEMA wanapita huku ni bora wakalifanyia kazi......na wenye midomo wakapaza sauti...

  Kuhusu vyombo vingine vya habari najuwa vipo kibiashara ila TBC Inaendeshwa kwa kodi zetu......chombo kama ITV pamoja ni kujulikana kuwa moja ya vyombo vinavyoitangaza sana...CHADEMA..katika siku za karibuni imekuwa haitoi tena coverage ya kutosha....nadhani ni hatari kama CCM watakuwa wanatumia nguvu ya pesa kukandamiza vyombo vingine....

  Magazereti ndio kidogo yameonekana kuwa balance[baadhi] lakini watu wengi sasa wanaangalia televisheni....lakini hata hayo magazetu juzi yalitumika vibaya...ambapo jumapili magazeti yote yalikubali kulipwa pesa ili yafunikwe na matangazo ya CCM ili vichwa vya habari vya chadema vilivyokuwa lead news siku hiyo visionekane....

  Nawasilisha!!!!!
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KUNA VYAMA KAMA NCCR,TLP,APPT n.k NDIVYO KWA KWELI HAVIPEWI FAIR GROUND YA COVERAGE YA WAGOMBEA WAO.......CCM,CUF NA CHADEMA HAVIPASWI KULALAMIKA HATA KIDOGO....WAKILALAMIKA NI UNAFIKI WAO UROHO
   
 3. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,477
  Likes Received: 1,214
  Trophy Points: 280
  :welcome:waandishi wa habari wamepigika njaa tu inawasumbua lazima waangalie kwenye michuzi ndo wafanye kazi hakuna weledi tena,labda tandamane haki ipatikane
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Waandishi wa habari wa Tanzania wananisikitisha sana.
  Lakini sio kosa lao, pengine wanaogopa kuwekewa vikwazo na Serikali ya CCM.
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Sadly, this is also my observation:confused2:
   
 6. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Hakuna kutetea waandishi,ujinga ndo umewajaa.mtu kama msiba wa chanel ten unaweza ukamwamini akitoa habari za upinzani,wanatia aibu.hongera raia mwema,mwanahalisi na tz daima,
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Jamani huu ni mkakati ambao umesukwa ukakamilika. Ndo maana ukienda vijini, baadhi ya watu hata hawajui kinachoendelea. Kwa mfano hata viongozi muhimu huko vijiji hawana habari na afya ya JK. Hawajui kama alipatwa na maswahibu pale Jangwani. Nadhani hawana habari pia kama kuna wagombea wengine zaidi ya JK. Ni kitu cha hatari sana na inasikitisha. Ila CCM wajue kuwa kisu wanachokatia leo kesho kitawashughulikia.
   
 8. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hat mie naliona hili
  Hongera Kinana umeonesha umahiriwako katika kampeni. Ila kaa ukijua kuwa Unaweza ukawafanya watu fulani kuwa wajinga kwa muda fulani na sio wau wote daima. dawa inachemka na hakuna aliyekaa kimya. Historia ipo na itawahukumu. Moto wa nguvu ya umma utawashukia na hao waandishi wa uongo ambao wameifanya Tanzania yetu mahala pa kutambia uongo.
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo wauzaji wengi waliyavua matangazo hayo na kuyatupilia mbali kwani yalikuwa yanawakosesha wateja. Lakini pia nauliza -- hizo ndizo kampeni za CCM za kistaarabu?
   
 10. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM hawana ustaarabu na hawajawahi kuwa na ustaarabu.
  Miaka yote wanafanya mambo haya na wapinzani kwa kupenda amani wananyamaza kimya.
  Wapinzania inabidi wakomalie kila kitu, wawe na media team pale Dar es salaam na kila wakitoa press release yao waitume kwenye balozi zote za nje (kwa vile mkwere anajipendekeza sana kwa watu wa nje) ili sauti iwe kubwa.
   
 11. e

  emalau JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Sio TBC peke yake, leo nimeangalia taarifa ya Channel Ten nao inawezekana washawekwa sawa, hakuna habari ya CHADEMA hata moja. Hivi RA hana hisa pale?
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  ....sasa sijui huo ushindi wanaoutafuta kwa kukaba watauitaje???

  ..mimi nafikiri mashirika kama UNDP yanayofadhili uchaguzi yangeangalia hili suala la ushindani usio sawa.....yaani kwa kuhonga waandishi mara zote kikwete imekuwa ndio fani yake......ni bora ....kama haya mashirika na waangalizi wa kimataifa wangetupia hiili macho...

  its not fair....kikwete amegeuka dikteta.....anayetabasamu!!

  mkapa alikuwa haana urafiki na waandishi...labda ndio maana hakuwa anaandikwa vema...na pia walikuwa wakimchukia kwakuwa alikuwa anawadharau kuwa hawajasoma.....kikwete yeye hadi waandishi wa magazeti ya udaku anao...
   
Loading...