Vyombo vya habari TANZANIA, acheni kuita kila mtu Dokta inadhalilisha nchi na elimu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya habari TANZANIA, acheni kuita kila mtu Dokta inadhalilisha nchi na elimu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Aug 31, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Dr Kikwete,Dr Getrude Rwakatare,Dr Mzindakaya,Dr Salim etc.

  Mandela na Tutu wana udocta wa heshima toka vyuo vikuu mbalimbali,lakini walikataa kutumia DR mbele ya majina yao.

  Sidhani Uhuru,Mzalendo ,Michuzi watasikia hili.
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,010
  Likes Received: 3,191
  Trophy Points: 280
  Inapendeza zaidi hasa ukiona huku kuna Prof lipumba, kule kuna Dr Slaa. Sa ulitegemea nini?
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hata ukiwauliza PhD zao ni za nn hawajui...! :becky::becky: hasa dokita kikwete...! he has a PhD in AHADISM SISIEMUNOLOGY
   
 4. M

  Mswahela Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ITV ndiyo kabisaaa!!!! Hawataji Kikwete bila kuanza na Dr, sijui ndiyo kujikomba huko!!
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Heshima yako mkee. umesema kweli
   
 6. p

  p53 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wanaondoa heshima yake.Kuna watu wamesota shule miaka kibao kupata hizo title halafu wengine wanajiita tu kienyejienyeji
   
 7. Zungu la Unga

  Zungu la Unga Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima hizo wamepewa na vyuo vikuu. Mbona Dr. Nyerere haikupigiwa kelele wakati alikuwa hana PhD?
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  dr KIHIYO KIKWETE MAJIMAREFU
   
 9. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nyerere alikataa hadharani kuitwa Dk Nyerere. NA akawaambia wale waliokuwa wapambe wake na wengine kuwa Yeye Ni MWALIMU na si vinginevyo. Naamini udokita wa kikwete unakikomo kama ule wa mkapa. Ulikoma baada ya kumaliza uraisi wake. Tusubiri la sivyo wababili tabia na mwenendo. Huna sababu ya kujiita kitu kisicho na tija kwako. Tufuate mfano wa Mwl. Nyerere.
   
Loading...