Video/Audio: Mbayuwayu wameridhika?

Mwee, sasa mbona umesahau back ground ya 'makofi' mwishoni maana imekaa kama ulikuwa unautubia audience fulani hivi au ndio uzalendo tu.
 
Mkuu nimekusikilza kwa makini sana, natamani kama ungeibukia kwenye moja ya mikutano ya Dr Slaa uyaseme haya ili wengi wakusikie. Naamini wengi zaidi wangeongoka.
 
hehehe..."kama huridhiki ni lazima ukatae!hili ni swala la maji na moto!"....hahahahaa
nimefurahi kweli. Nimemkumbuka Bush..."u r either for us or against us"...kazi kwisha. Na kama sidhani kuna aliye tayari kuongoza huku bado sijaridhika nifanyaje?
 
It is a good thing mkuu, natamani kama vile KLH News ingesikika TZ nzima huku na ukawa unarusha haka ka promo every 30mints.
 
Andika neno CHADEMA kwenda 15710 ushiriki ktk SASA (Saidia Slaa Ashinde). Shiriki ktk mapinduzi ya fikra na uongozi mpya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom