Wengi watakubaliana na mimi kuwa biashara ya mavazi ni moja kati ya biashara isiyopitwa na wakatati, ni kama vile ilivyo biashara ya vyakula, kwani mtu atahitaji kula na kuvaa kila siku...
Wapinzani wamekuwa wakilalamika kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana mchini unatokana na elimu duni.Je ni kweli tatizo ni elimu duni,ongezeko la watu au uchache wa ajira tatizo ambalo ni la...
On salary increment, Mr Marando said Mr Kikwete told a rally on 22nd August, (according to the media), that he had increased the minimum wage from 135,000/- to 235,000/-, was a lie because...
Wadau nimetembelea blogu ya Zitto Kabwe na kufurahishwa na jinsi Kampeni zake zinavyoendelea kule Jimboni kwao. Haya ndo mambo ambayo CHADEMA nzima walipaswa kuyafanya. Jambo ambalo inambidi Zitto...
Ni mara ngapi tumechagua wasaii kuwa viongozi wetu? Angalia hizo attachement uone kiongozi anatakiwa aweje na msanii utamtambua.
FANYA MAAMUZI SAHIHI WAKATI NDIO HUU.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali pingamizi alilowekewa mgombea ubunge wa jimbo la Karagwe kupitia Chadema, Deusdedith Kahangwa.
Kwa mujibu wa barua ambayo gazeti hili limeona...
Wajameni, habari za leo tena. Kuna tetesi kuwa yule mgombea wa chadema aliyeenguliwa Karagwe NEC imemrudishia hadhi ya kugombea. Kama ni kweli tujiulize "wasimamizi wa uchaguzi majimboni ni wala...
SERIKALI inatarajia kuanza kutumia njia ya reli kwa ajili ya kusafirisha abiria kwa mkoa wa Dar es Salaam ili kuondokana na adha ya foleni ambayo inazidi kila kukicha.
Kauli hiyo ilitolewa jana...
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA...
Kulingana na makubaliano yaliyofikiwa baina ya tume ya uchaguzi(NEC) na vyama vya siasa ikiwemo kutunga sheria mpya juu ya matumizi ya fedha pamoja na taratibu zingine za kuendesha uchaguzi. Mimi...
Ndugu wanaJF, nimeanza kuwasiliana na baadhi ya maadvocate kuona ni kwa vipi tunaweza kumwekea pingamizi Kikwete asigombee Urais kutokana na sababu zifuatazo:
Sababu ya kwanza Inatokana na afya...
"Kwa ugonjwa huu; nitakufa.. Watanzania wale watalia sana.., nitawaombea kwa Mungu"
Ndugu wanaJF nimeona nianze kwa kunukuu sehemu ya maneno ya Baba wa taifa katika siku zake za mwisho pale St...
People are divided into three main groups depending on the mind set..
1. Lower mind - (Discuss other people)
Group hili wao ni kujadili mambo binafsi ya watu.. Ambayo ki u halisia hayana...
He accuses the Tanzanian government of corruption. From the lowest ranked member of Police force in Moshi to the highest officer, from a local magistrate to Chief Justice, from a DC to the...
Serikali imeamua kwa makusudi kukandamiza haki za wananchi walioiweka madarakani, imeamua kuwapora haki zao, maisha yetu yapo mikononi mwa nani? Mwizi wa kuku yupo Segerea anatumikia kifungo cha...
Hatuko mwanzo,wala hatuko mwisho,inawezekana tuko mwanzo wa mwisho.Hapa nazungumzia safari ya taifa hili la Tanzania kuelekea kwenye ukweli,kuelekea kwenye mwanga.Ukiona giza totolo limetanda kila...
Makala hii ilichapwa kwa mara ya kwanza kwenye gazeti huru la Dira Zanzibar, Na. 45, la Oktoba 10-16, 2003. Nimeamua kuileta tena hapa ukumbini baada ya kuiona hii video ilowekwa jana kuhusiana na...
In the same way that a baby is branded an angel, and goes unpunished for mistakes the creature makes, due to newness in the world into which he or she has been thrust, crazy behaviour and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.