Elections 2010 LIVE ON TBC1: Mdahalo wa Wabunge - Jimbo la Arusha

Du! Bwana mdogo anatisha huyu! Anakata points na yuko so confident. Anaongea akiwa na uhakika anaingia Bungeni . . .
 
Anasema atajenga hospitali 3 tarafa za Arusha Mjini
 
Du! Sauti haisikiki tena . . . namna gani vipi hawa TBC1. Tunaona images tu
 
Bado Sauti haisikiki . . . lakini namwona Mrema wa TLP anakata issues . . .
 
Kapiga suti yake ya 6 buttons na tai ya miraba miraba. Nadhani aliangushwa katika king'ang'anyoro cha Urais TLP
 
Kuna dada nadhani anauliza swali . . . Sauti bado haisikiki wadau!
 
Linaulizwa swali vipi mikakati yao kuhusu uchafu uliokithiri Arusha?
 
Swali: magorofa yanaongezeka, Drainage system mbovu na zinavuja. Je Mtatusaidiaje?
 
TLP anajibu:

Anasema lazima waplan upya jiji la Arusha
 
CHADEMA:

Mkakati, kupunguza population mjini i.e kwa kupeleka masoko na stend nje ya mji
 
CUF:

Sheria ipewe uzito na kuisimamia
Kuongeza magari ya taka
 
Back
Top Bottom