Elections 2010 Mgombea wa Chadema Karagwe apeta!

AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
14
Wajameni, habari za leo tena. Kuna tetesi kuwa yule mgombea wa chadema aliyeenguliwa Karagwe NEC imemrudishia hadhi ya kugombea. Kama ni kweli tujiulize "wasimamizi wa uchaguzi majimboni ni wala rushwa au ni washabiki au ni waamuzi wa CCM? Mbona maamuzi yao yanatenguliwa?
 
Kama ni kweli karudishwa, siamini kama haki itatendeka iwapo hao wasimamizi watabaki kusimamia uchaguzi. They need to go!!
 
Back
Top Bottom