Elections 2010 Utitiri wa matawi ya CCM United Kingdom!! Njaa ama Kujipendekeza?

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?
 
Kuna wadau wamesema Chenge, Rostam, JK, Mramba, Yona, Lowassa, Mama Mkapa, na Kinana waliwagawia "vijisenti" kwaajili ya ufunguzi wa matawi pale London! Ha Ha Ha:A S 100:
 
Wadau wa Us kaeni mkao wa kufungua matawi unadhani kwa nn Mama Majar kaletwa huko??:confused2:
 
Weeeeee, JK akina U.S kila siku anaikacha Houston, watu wa ubalozini pale DC wanaikacha, na huyo mama anakaribishwa kwa mikono miwili lakini aelewe yeye in balozi na sio kada wa chama! :playball:
 
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?

MMESHAANZA KUJICHOKONOWA, MIDOMO INANUKA SHOMBO LA KAUZU KUISAFISHA HAMTAKI, AMA KWA SABABU HII....BONYEZA BASI MICHUZI
 
Frederick Sumaye alisemaga "ukitaka biashara yako au mambo yakunyookee njoo ccm" .

Wengi wao kuwa UK ni kutokana na uongozi mbovu.Sioni sababu nyingine iliyowasukuma zaidi ya njaa, wakiami siku moja watateuliwa kuwa wakuu wa wilaya au kupewa zabuni serikalini na ukweli baadhi yao wanafanikiwa.
 
AMEEEEN, Mkuu!!
Hapo umeongea
 
This time hawa jamaa wa nje ya nchi wameambiwa wasi pige kura sasa nini umuhimu wa hayo matawi ya CCM uko nje ya nchi kama sio unafki tuuu sijamwelewa waziri wa mambo ya nje Benard Membe kutoa tamko la kutokubali kur za nje ya nchi????
 
Utitiri huo ni dhahiri kana kwamba wanagombea UHURU
Je wamesajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa huko UK au ni clubs ambazo tunaambiwa ni matawi?
 
Jamani njaa haina BAUNSA. Kufungua matawi hayo kumesababishwa na njaa. Vijana wamebeba mabox mpaka wamechanganyikiwa lakini hawana pesa. Sasa wanafikiri labda watamaliza njaa zao kwa kufungua matawi ya ufisadi huko Ughaibuni. NI AIBU KUBWA SANA HIYO. Mbona hapa Tanzania hatuoni matawi ya vyama vya siasa kutoka UK, USA na kwingineko?.
 
Wanaofaidi matunda ya ufisadi ndio wanaofungua matawi mtu aliyeishi huko mwenye akili timamu hawezi kufanya ujinga wa kufungua mata wi ya CCM
 
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?

we kweli vuvuzela maana kazi ya vuvuzela ni kuwapigia wa2 wengine kelele!!!!!we inakuhusu nini?ccm ni ya wanachama wa ccm popote walipo!!!!uwe kijijini Geita au Birmingham.Fanya utafiti kwa viongozi wa ccm UK halafu mtaje huyo mwenye njaa na umtaje huyo anayejuana na mafisadi wa bongo...zaidi ya wao kuhangaika kuunda jumuiya za watanzania ili ziwe chachu ya kuhamasisha maendeleo.Tatizo lenu kila ambaye yupo ccm basi msaliti wa nchi sio hivyo wapo wenye malengo tofauti na yenye nia njema. wakati wengine wanatumia hela zao wenyewe kuhangaika na Utanzania mijitu mingine inaleta uvuvuzela
 
Vuvuzelaaa pwoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom