Elimu Duni au...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu Duni au...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TandaleOne, Sep 7, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Wapinzani wamekuwa wakilalamika kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana mchini unatokana na elimu duni.Je ni kweli tatizo ni elimu duni,ongezeko la watu au uchache wa ajira tatizo ambalo ni la kiulimwengu???
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni sera mbovu za CCM. Hili aliliongelea Dr Slaa pale jangwani, ambapo alishangaa kwamba serikali ya JK eti imetoa ajira za watu milioni 1.3 katika miaka yake mitano! Dr Slaa alisema kuna vijana wana degree za chuo kikuu wanatembea nazo mfukoni hawana kazi, jee ni ajira gani hizo JK anajigamba nazo? Umachinga? Kwani nchi hii imekuwa condemned kuwa a nation of machingas? Yaani serikali haina mkakati mwingine wa kutoa ajira? alishangaa Dr Slaa.
   
 3. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kha!!Mbona anachanganya???Ilani yake kasema ni elimu duni!!!
   
 4. S

  Safre JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  pamoja system ya wizara elimu tunayopata haituandai kujiajili
   
 5. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Doh!Nadhani jamaa alisema ni elimu duni.Au kuna speech mbili tofauti za kwake za Jangwani??
   
Loading...