Elections 2010 MAKAMBA NA CCM yake wanastahili group hili la aina ya watu

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
People are divided into three main groups depending on the mind set..

1. Lower mind - (Discuss other people)

Group hili wao ni kujadili mambo binafsi ya watu.. Ambayo ki u halisia hayana mashiko wala mantiki yoyote..


2. Ordinary mind - (Discuss events)

Hawa hujadili matukio yanayotokea, bila ya kufikiri kwa undani kuhusu matukio hayo..


3. Higher mind - (Discuss ideas and solutions to problems)

Hawa hujadili jinsi ya kufanikiwa, kufanikisha mambo ya msingi na kutatua matatizo mbali mbali yanayoikabili jamii..


Siku chache zilizopita MAKAMBA alitumia list kama hii na kusema kuwa CHADEMA wana akili ndogo kutokana na hotuba waliyoitoa katika ufunguzi wao(Chadema), na akamsifia kikwete kuwa yupo group la Higher minds,(Shame)..

Kutokana na mjadala usio na msingi ulioanzishwa na CCM kuhusu ndoa ya Dr Slaa, namwuliza MAKAMBA, Yeye(CCM) na CHADEMA nani ana akili ndogo????

Kuendeleza mjadala wa maisha binafsi ya Dr Slaa, inatusaidia zaidi kumweka MAKAMBA na CCM yake katika group lao stahiki..

Tujiulize:
Group la MAKAMBA na CCM yake wataweza kutuongoza????????????
 
Makamba siyo mwenzako, alikuwa mwalimu wa upe mpaka akawa mwalimu mkuu na kutimuliwa kwa kashfa ya ngono na mwanafunzi wake, then baada ya hapo aliendelea na elimu ya juu mpaka form two.
 
Makamba siyo mwenzako, alikuwa mwalimu wa upe mpaka akawa mwalimu mkuu na kutimuliwa kwa kashfa ya ngono na mwanafunzi wake, then baada ya hapo aliendelea na elimu ya juu mpaka form two.

Duh! Hii kali... mwaka huu tutajua mengi ila kusema ukweli sijui ni kwa nini watu wanaoishi katika nyumba ya vioo wanapenda sana kurusha rusha mawe kwa majirani zao... tehehe:smile-big: Burudani!
 
Back
Top Bottom