Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maoni ya katuni Wakati wa mchakato wa uchaguzi, kuanzia kura za maoni, uteuzi wa wagombea, kampeni, upigaji kura na kutangazwa kwa washindi, kumekuwa na kawaida ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi,mpaka mtu ajinadi kwa bendera ya taifa na picha ya Nyerere ndo aaminike??????Doh!Inamaanisha mtu haamini ndani ya nafsi yake kwamba anaweza kusimama peke yake na watu...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Bhandugu imekuwaje tena hawa magangwe wa sanaa za mipasho ya siasa hatuwasikii kama zamani kwenye kampeni za CCM? Au wameamua kutoa pande kwa bongo fleva wajirambe na fiesta ya kuwanadi wanaccm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Weekend iliyopita nikiwa natafakari ugumu wa maisha, iliingia message kwenye simu yangu kwa namba ambayo sikua nayo kwenye simu yangu. Nikasema ngoja nishare hii message na wanajamii wenzangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utoaji wa huduma za Afya uliendelea kuboreshwa kwa kiasi kikubwa na kuleta mafanikio yafuatayo:- (a) Kutoka mwaka 2005 hadi 2009, jumla ya zahanati 464, vituo vya afya 98 na nyumba za waganga 394...
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Utafiti haupingwi majukwaani, bali kwa kufanya utafiti mwingine na kuthibitisha kwamba ule wa zamani haukuwa sahihi. Uzalendo sio kupinga utafiti bali kuufanyia kazi mapema kabla mambo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu By Guardian on sunday team 19th September 2010 About ten regions holds crucial key to decide who will win or lose the election on October 31...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini,Bw Kasimbazi amegoma kushiriki katika mdahalo wa TBC baina yake na Wilfred Lwakatare uliokuwa ufanyike jana jumapili mjini Bukoba.Wafanyakazi wa TBC wakiwemo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utawala ukifitinika hauwezi kusimama, ni ujumbe wenye maneno machache lakini ukiwa umebeba ujumbe mzito. Utawala wa CCM umefitinika na kwa hiyo ni mwaka wa kuaga ikulu. Tumeshuhudia migogoro...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliekuwa spika wa bunge ambae amemaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kuchukua rushwa katika...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Jamii (CCJ) - almanusura niandike CCM! - Richard Kiyabo, leo "amerejea" na kukabidhiwa kadi rasmi na Katibu Mkuu, Yusuf Makamba. Habari zilizotangazwa sasa hivi...
0 Reactions
129 Replies
11K Views
Waungwana niko Mtwara leo, na kama nusu saa iliopita nikiwa kituoni nasubiri dala dala niendelee na mizunguko yangu, yamepita maroli yanawarudisha wana CCM majumbani mwao, kutoka kwenye campaign...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watanzania acheni udokozi mpate ajira – JK Imeandikwa na Na Paul Sarwatt, Arusha; Tarehe: 19th December 2009 @ 23:59 Imesomwa na watu: 762; Jumla ya maoni: 1RAIS Jakaya Kikwete amesema tabia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
'' Mimi nakwenda kule (ulaya na Marekani) kuhemea .Nikirudi narudi na Kibaba'',Kauli hiyo ilinikera kiasi cha kusababisha mapigo ya moyo kuongezeka,Kwa mtazamo wangu ,haya ni maneno ya ajabu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAJIBU dhidi ya mke wa Rais Jakaya Kikwete anayokabiliwa na tuhuma za kutumia fedha za serikali katika kampeni limekanushwa na kutolewa ufafanuzi na chama hicho...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Please, kuna anayejua matokeo ya Kura ya Maoni yanayotarajiwa kutolewa hivi karibuni na Kampuni ya Snovate (zamani Steadman)? Nani anaongoza kura hii ya maoni baina ya wagombea urais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Residents of Mathare slum in Nairobi fetch water at one of the watering points. Access to safe dinking water is one of the indicators used to measure progress made on MDGs. By Jeff Otieno...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ule ukweli kwamba DAMU nzito kuliko maji ambao ndio hasa unambeba mtanzania hyyu ambaye ameandamwa na kila aina ya harufu ya ufisadi na ujambazi wa mali za umma. Kwanza kwa kulazimika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
katika hali inayoonyesha kuwa kuingia kwa Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka huu ni pigo kubwa kwa CCM na Kikwete, CCM wanahaha kutafuta ushindi ambao wanadhani unaweza kuwaponyoka wakati wowote...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…