Serikali 'inawalinda' na 'kuwalea' mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali 'inawalinda' na 'kuwalea' mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchola, May 12, 2008.

 1. Mchola

  Mchola Member

  #1
  May 12, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Serikali ya Tanzania 'inawalea na kuwalinda' watuhumiwa wa ufisadi. Kuna ushahidi lukuki kuhusu hili lakini mdogo tu ni wa serikali kutamka kwamba eti Balali ambaye ni mtuhumiwa namba moja hatafutwi kwa sasa hata baada ya kuachishwa ugavana kwa tuhuma hizo hizo. Pia Balali anaendela kukaa kwenye nyumba ya serikali. Ona hii makala  "Ballali still enjoying government perks


  -FORMER GOVERNOR OCCUPIES BOT MANSION AS
  INCUMBENT BOSS MAKES DO WITH RENTED QUARTERS

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  FORMER Bank of Tanzania boss Daudi Ballali is not only a free man, he is also still enjoying some of the perks of his old job, despite being sacked as central bank governor nearly five months ago over the theft of more than 133bn/- from the external payment arrears account (EPA).

  This comes following revelations that Ballali is still occupying the official residential house of the central bank governor although he is no longer an employee of the bank.

  In the meantime, Prof. Benno Ndulu, -- the new BoT Governor who replaced Ballali -- has been forced to make do with rented accommodation.

  It is understood that the BoT management had to rent a house and make suitable renovations to the building before the incumbent governor could actually move in.

  While the central bank currently faces a shortage of houses to accommodate its senior officials, including Prof. Ndulu and his three deputy governors, Ballali’s belongings are safely locked inside the executive BoT Governor’s house at the Masaki neighbourhood in Dar es Salaam
  ".


  Miaka ya nyuma, Dr Rashid (wa TANESCO) alipoachishwa ugavana alipewa 'marching orders' kuhama kwenye kwenye nyumba ya BOT na aliondoka kesho yake. Inadaiwa Dr Rashid alikataa kukubali 'orders' za wakubwa kama alivyofanya majuzi kwenye sakata la kuwakatia umeme Tanga Cement. We need people like Dr Rashid in the system. I like the guy!!!
  Sasa huyu fisadi na mtuhumiwa namba moja Balali anaendelea kukaa kwenye nyumba na hakuna wa kumtoa. Inashangaza sana nchi hii inavyokwenda!!!Sijui sasa tufanyeje? kuwazomea tumewazomea lakini haitoshi, kura wanaiba na wataendela kuiba na kushinda uchaguzi...
   
 2. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kiwiri, Wananchi Bado Tunalipia Ingawa Kuna Walakini

  Richmond Halikadhalika

  Balali Hakamatwi

  Balali Bado Anaa Kwny Nyumba Ambayo Mimi Na Wananchi Wengine WenyE Njaa Tunailipia Hiyo Nyumba

  Lowassa Na Wenzake Bado Wanapeta Na Wana Abudiwa Huko Watokako

  Chenge Ni Shujaa Mkubwa Kwa Hela Zake

  Mkapa Ndio Sisemi Kabisa

  Watoto Hawana Madawati Shuleni, Vifo Mahospitalini Hata Panadol Hakuna, Miundombinu Nibovu, Bei Ya Umeme Inapanda, Wawekwzaji Wanavuna Mpaka Wanavimbiwa Wafanyakazi Wanaambiwa Hawawezi Kupandishiwa Mishahara Maana Wawekezaji "hawajaanza Kupata Faida"
   
 3. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Aaaaaghhh.... Mi Nimechoka, Naona Ninacho Fanya Hapa Twanga Maji Kwenye Kinu Tuu, Hakuna Jipya Wala Hakuna Wa Kujibu Hawa Maswali Yangu....
   
 4. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Vitu vingine vinaumiza sana ndo maana kuna mwandishi mmoja aliomba aliyeiba serikali ya kikwete amrudishie kwani tunaoumia ni wananchi na si kikwete mwenyewe.
   
 5. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135

  MAANA HAWA WANAKOMOANA NA SIASA ZAO CHAFU LKN TUNAOUMIA NI SASA NA HATA HAWAJALI MAANA WANAJUA "TUTAFANYA NINI" UKITAKA KUANDAMANA MPAKA UOMBE KIBALI, VINGINEVYO UTAKOMA, WAMEJIPROTECT MNO NA WANAUHAKIKA NA USALAMA WAO NDIO MANA WANAFANYA WATAKAYO
   
Loading...