naombeni msaada

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
837
najuahapa si mahala pake lakini nimekwama ..mods unaweza kuihamisha baada ya dakika kadhaa

Ninahitaji ATTACHMENTS za forma ambazo TRA wanazoitumia yaani kwa ajili ya kulipia kodi zote Tanzania na kama una mtu unamfahamu kule TRA itakuwa bora zaidi. Nimejaribu kuangalia kwenye website ya TRA sijaziona hizi forms ...naona website yao na ya IKULU hazina tofauti sana

1) KITABU au attachment ya kitabu cha TAX RATE ZA TANZANIA

2) KITABU au attachment CHA VAT

3) FORMS ZA PAYROLL RETURN ZA MWAJIRI

4)FORMS ZA CORPORATION TAX RETURNS

5)FORMS ZA SELF ASSESSMENT RETURNS PAMOJA NA INDIVIDUAL

6) FORMS ZA ANNUAL RETURNS ZA BRELLA


noombeni msaada tafadhalini wakuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom