Elections 2010 Marais wastaafu waogopa kumkampenia JK

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wana-JF:

Gazeti moja liitwalo Tahmini leo lina stori kuu ukurasa wa mbele kwamba marais wastahafu -- Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wamekacha kumkampenia JK, kwa sababu wanaogopa kuumbuliwa na masuala ya ufisadi.

Hili gazeti, ambaloi hutoka kila Jumatatu nimelipenda sana na linakuja juu sana siku hizi kwani haliko katika class ya HOJA, TAZAMA, SAUTI YA UMMA, MTANZANIA, CHANGAMOTO, RAI au TAIFA TANZANIA yanayomilikwa au kufadhiliwa na mafisadi. TATHMINI ni gazeti linaloandika mambo objectively ambayo yanareflect hali halisi ya kisiasa ya nchi hii, siyo majungu au kupakana matope.
 
Wanaogopa aibu ya kukampenia mgonjwa, wanajua muda wowote goma linaweza kubuma, si mnaona mzee Mwinyi alivyofadhaika pale Jangwani? Na safari hii ikitokea tena pale jangwani ndiyo nitolee.Hayo majini ya yule gagula wake hayataona ndani, TEHE TEHE TEHE!!
 
Hali ya hewa ni mbaya kiasi kwamba hakuna aliye salama kusimama jukwaani na kumkampenia JK,wamemwachia zigo lote ahangaike nalo maana wao wamekwishampa kijiti hivyo kazi kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom