Nikiwa mtanzania mwenye haki yakikatiba napinga kwa nguvu zote uteuzi wa Kikwete kuliongoza taifa hili kwa miaka mitano tena. Najuwa wengi mtasema sijielewi ila hata katiba haimkubali tena Kikwete.
Sababu ya kwanza nimuongo, utakubaliana na mimi ahadi yake ya maisha bora kwa kila mtanzania ni maisha ya dhiki kwa kila mtanzani.
2. Siku zake za Urais wake serikali yake imeongoza kwa majungu na umbea kiasi ilifika mahali baraza lake kuvunjika, acha hilo ikulu ndio hapafai.
3. Ndie rais alie kaa kimya huku Zanzibar ikijing'oa ktk Muungano huku Watanganyika wakilipa gharama kubwa za Muungano. Nijambo lisiloingia kichwani Rais wa nchi kucheka na nyani na taifa kuteketea. "RAIS ASIE WEZA KULINDA KATIBA YA NCHI HATUFAI" J. K . Nyerere.
4. Afya yake pia nisababu yakutosha kumpa nafasi akapumzike. Unajuwa watu wengi hawajuwi hathari za afya ya Rais kuwa mbaya.
A. Atakuwa muda wote kwenda ulaya kwa matibabu.
B. Atatumia ma milion ya walipa kodi masikin kujitibia huku uchumi ukidorola.
C. Atapoteza Muda ambao ni wa thaman sana kwa watanzania. Katiba ya Tanzania inazungumzia kwa undani afya ya Rais LAKINI TAIFA HILI LENYE VIONGOZ VIPOFU NA WENYE KUPENDA RUSHWA WATAMTETEA KWA MASILAI YAO NA B'LV ME PINDI RAIS MGONJWA MENGI MABAYA HUPITISHWA KINYEMELA. Mim najiuliza hivi hawa watu wamelogwa? Au nani kawapa sumu Wa Tz. Hivi kweli watu wanashindwa kusimama kwa pamoja nakulijuwa hili? Hivi kweli idara za ndani za usalama wa taifa zinakosa wataalamu waku perspect kile kitaikumba Tanzania kwakuwa nahuyu Rais? Oo God help Tanzanian. Tumechoka tumechoka na Rushwa iliokithiri mpaka wanao kamatwa nikama sio wenyewe. Maana ndio kwanza Rushwa imeota mizizi. I love my country with all i have. Amen